Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,008
- 165,553
Jamani, aliyepoteza mini laptop yake anitafute.
Nilikupa lift jana jioni maeneo ya Posta, kwa bahati mbaya ukaisahau laptop yako kwenye gari yangu.
Kwenye mazungumzo yetu ulijitambulisha kuwa wewe ni JF member, uliteremka mitaa ya Morocco
kama unajihisi wewe ni genuine owner wa hiyo laptop just call me on 0717454455
mademu wa humu wana gono kali, linapenya kwenye condom na wala haliponi hata kwa penaduumkuu bujibuji utang'oa sana mademu wa jf kwa huo mkwara..."the guy is so honest,and he's got a car too"
A na B yote si majibu sahihiUmeokota, umeikuta?
Hujaokota bana!..imesahauliwa kwenye motokaa yako!Jamani, aliyepoteza mini laptop yake anitafute.
Nilikupa lift jana jioni maeneo ya Posta, kwa bahati mbaya ukaisahau laptop yako kwenye gari yangu.
Kwenye mazungumzo yetu ulijitambulisha kuwa wewe ni JF member, uliteremka mitaa ya Morocco
kama unajihisi wewe ni genuine owner wa hiyo laptop just call me on 0717454455
Hakuwa binti, ni mtu wa makamo, kama 40 yrs hivi
Jamani, uko wapi uncle buji, its mine