Nimeoa single mama

Bwana mdogo huo ushauri wako ungekuja kutuomba kabla ya kumuoa huyo singeli maza nadhani ingekuwa vizuri zaidi,, ila kwa kuwa ushamuoa, nakushauli kama mahari kama hujamalizia kulipa sikilizia kidogo hata miezi sita alafu ndo umalizie
 
Hongera mkuu ila huyo mtoto utake usitake baada ya miaka miwili utaishi nae tu.
 
Watu mnamaneno ya shombo humu, eti kwamba ana mikosi kisa tu kaoa single maza. Mie hata leo ikitokea la kutokea labda nimefikia muda natakiwa kuoa upya nitaoa single mother. Hawa watu wana akili sana kwenye maisha.
Kuzaa hakufanyi mtu kuwa na akili
 
Halafu inakuwaje mwanamke unaacha mtoto wako wa miaka 2 eti unaenda kuolewa? Hii ngumu kumeza. Unaacha mtoto wako then unaenda kuzaa wengine huko. Yaani huko ni kumnyanyasa mtoto. Yaani anakosa malezi ya baba na mama.
 
I know we can't be together right now, we're just too far apart, and I understand that. I also know that logically you will probably never actually see this letter, either. But the same part of me that knows we will be together always, regardless of the way things are right now, believes you will somehow find this letter.

I love you with every part of my being. I love you wholly and selflessly, and I know I am nothing without loving you. I will wait for you always, and I have loved you since the day I met you. That night in my car, in the first ten minutes when we got to know each other on the way to that party, I knew you were the right one. I had been hurt so much before, I didn't think I even believed in that fairy tale of love anymore, but you made me believe in it again, without even knowing it.

I know now that somehow we will be together always, and I will one day be with you again. I look forward to nothing more than spending the rest of my life trying to make you as happy as you make me. I love you more than words could ever say, and with that I end my love letter to you.
 
Uishi Maisha marefu
 
Ushauri wangu, mpokee mtoto kama mwanao usioneshe gap kubwa sana si vema kwa afya ya mama na mtoto kisaikolojia.

Lakin pia nikupongeze kwa maamuzi mema maana single mother nae ni mtu na huenda amengonoka mara chache zaidi kuliko hata wenye shape kiuno mmbu utakuta wamepita watu zaidi ya 1000 na mimba zimechomolewa kama zote.

Heri single maza 1000 times. Big up usije muacha kizembe utamuumiza binadamu mwenzako.
 
Mi nakushauri kila mwezi uwe unakatumia hako katoto kake 10,000 kama posho ya kumpoza mama mkwe wakati nyie mnabingirika
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Ona huyu, we ndio unaoa au?
 
Kuna watu wana comment humu ila ukichunguza wamelelewa na wanaume ambao sio baba zao na leo wanaanua midomo siwez kuoa sijui kusaidia mtoto wa mtu, ndugu zangu tuweke akiba ya maneno hatujui mama zetu wamejitoa kwa kias gani na wamedhalillika namna gan mpaka leo tumekuwa watu wazima,
 
Jiandae kisaikolojia kupatwa na PTSD au Schizophrenia ni rahisi sana unapoingia kwenye mahusiano na single mother ikiwa wewe sio single father,
 
Kuna mdada alizalishwa watoto 4...amekuja funga ndoa saafi kabisa....ni perceptions tu za watu
 
Ishi nae kwa tahadhari.

Jamaa aliekimbia siku akizipata Hela atarudi watapasha kiporo.

Single Mpe 40% kwamba hatakucheat kwa jamaa aliezaa nae tena hapo nimempendelea sana

Anaweza kucheat kwa mwingine yoyote ila akicheat kwa jamaa aliezaa nae imekula kwako utajuta kuzaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…