Habarini wakuu,
Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.
Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.
Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua..
Kuna mto wa kuvuka na wew yaani unaona mto kina kirefu mafuriko yanapita mamba wengi na huna kivuko unataka uvuke msimdanganye dogo mimi ningemshauri na kumuusia kwamba shamba lenye mgogoro halina ulazima wa kulinunia kana una cash mkononiNa mnaosemaga hivi ndio mnakujaga kuwaoa na kuwapenda sana
Usitukane mamba kabla hujavuka mto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utaita maji mma muda c mrefu
Cha msingi zaidi asijue kipato chako halisi.Habarini wakuu,
Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.
Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.
Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Asa ata move on vip ilihali mtoto ana haki ya baba ake mzaziHatujaongelea kuchepuka, tumeongelea usumbufu.
Mara baba wa mtoto anataka amuone mtoto.
Mara baba yake fulani kaja mtembelea mtoto...
Watz hamjui jinsi ya ku move on na maisha
Kila kitu ni makubaliano usingilie mapenzi ya watu wamekubaliana tayari....Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Sasa kama unamsifia mtoto ni HB,si kachukua kwa baba yake,subiri mkeo aanze kumsifia first Born wake alivyo mzuri kama babaye na tabia za babayesawa,,na ana mtoto wa kiume very HB
hamuachanagi ..lazima akubali kupigiwa .Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Ili wawe ndugu inabidi watumie majina ya mama, mf. Deepond Dejane, Kibenten Dejane (Dejane awe mama), lakini Nakadori Mpwayungu (Mpwayungu baba), To yeye Chief (Chief baba) hapa hamna undugu zaidi ya mazoea tu, socially wanakuwa na bond lakini genetically hawana undugu kabisaaa DejaneKwa hiyo watu walozaliwa tofauti baba sio ndugu
Kwani singo Mama sikuhizi wamepata wapi jeuri ya kuchagua watakaoishi nao[emoji1787][emoji1787].Be Humble single mama couple utaziskia tu kwenye redio mnashindwa kujitunza.Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
ID kibenten+avatar =umeolewa wewe😎Habarini wakuu,
Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.
Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.
Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
hongeraHabarini wakuu,