sawa,,na ana mtoto wa kiume very HBUkioa mama mwenye mtoto wa kike ni rahisi kukop na mtoto wa kike,ila wa kiume anapokua kamwe haji kukuelewa and the same mwanamke akaolewa na single faza mwenye mtoto wa kike.
Ni wazo tu, usinichukulie serious
Hivi huwa ni single mother au single parent. Mi huwa inanichanganya. Nilikuwa nadhani kila mama ni single mother, hata aliyeolewa. Ila parent, ndio kuna single au kinyume chake. Naomba kueleweshwa.Watu mnamaneno ya shombo humu, eti kwamba ana mikosi kisa tu kaoa single maza. Mie hata leo ikitokea la kutokea labda nimefikia muda natakiwa kuoa upya nitaoa single mother. Hawa watu wana akili sana kwenye maisha.
asante kwa mchango wakoSikiq nakuambia ule ukweli mchungu...mwanaume akizalisha mtoto anahitaji mwanamke kama msaada wa kulea mwanae hapo ,hapo mwanaume ukishakuwa na mtoto mapepe yanapungua unakuwa na shauku ya familia.
Ila tambua mwanamke hayuko ivyo kabisa kwanza anahamisha mapenzi kwa mtoto ..ni kwamba kama umeoa single mother tambua hana mapenzi na wewe ni njaa ndo zimempeleka bado ana mapenzi na jamaa na mwanae ...ipo siku noma itakuja sanuka.
Bado kijana utakuja kufa ukiwa mdogo ...wanawake kibao unachukua ambaye jamaa wa kwanza alishamuona kinyaa!! Hana maajabu jamaa akija hapigi Tena sound anaenda fanya yake kimyakimya
Wanaitwa single mothers kwa sababu wamezaa ila hawajaolewa. Kwahiyo ni akina mama walio maseja.Hivi huwa ni single mother au single parent. Mi huwa inanichanganya. Nilikuwa nadhani kila mama ni single mother, hata aliyeolewa. Ila parent, ndio kuna single au kinyume chake. Naomba kueleweshwa.
Hawa wezi kuwa ndugu ukoo ni tofauti na Baba yao akifariki huyo mtoto hawezi kurithi mfano mashamba ya ukoo, wangekuwa baba mmoja na mama tofauti hapo ndiyo wanakuwa ndugu maana wanatumia jina moja la ukoo, na utakuta kabila ni tofauti huyo mtoto labda Baba ni Mpare na watoto wengine Baba yao Mpemba.Mmmh watoto wamezaliwa tumbo moja wasiwe ndugu?
Siyo ndugu kila mmoja ana kwao mwingine likizo ataenda kwa Babu yake na uko, ndiyo maana Wazazi wetu walikuwa wana zaa na mwanaume mmoja tu ata wakiachana huwezi kusikia Mama kazaa tena na Mwanaume mwingine,ila Baba zetu na Babu zetu ndiyo walikuwa wana zaa na wake wengi tena wote wanaishi pamoja na watoto na wanaishi kidungu watoto wote ata wakiwa 30 mama zao tofauti, Tabia hizi za kuzaa watoto na Baba tofauti imekuja miaka hii tu kwasababu ya Tamaa ya wasichana kupenda pesa bila kuangalia huyu ninae zaa nae yupo tayari kunioa.Kwa hiyo watu walozaliwa tofauti baba sio ndugu
Ni ndugu kabisa Wa baba mmoja ni koo moja kwasababu wanaendeleza ukoo.Na walochangia baba mama tofauti je?
Mfano Magufuli alivyo fariki watoto wake walitangazwa wakajulikana naamini Mama Janeth kama angekuwa na Mtoto alimzaaga nje kabla ya kukutana na Magufuli huyo mtoto hasinge jumuishwa kwenye idada ya watoto wa Magufuli na urithi hapati.Yeah!
Ila Kwa upande wa Mama ni ndugu wanaoweza ku-share baadhi ya features Kama kufanana kama wanafanana na Mama Yao lakini linapokuja suala la mzizi au asili hawawezi itwa ndugu na hapa tunazungumzia vinasaba(DNA).
Ndio maana hata watoto wako hawezi kwenda kudai Urithi Kwa Baba ambaye amezaa na wewe kwani sio Baba Yao.
Muhimu kuliko yote.
Kama maisha yanaongozwa na Upendo zaidi.
Mtu Kama ameamua kuishi na mtu mwingine msingi Mkuu uwe ni upendo, alafu akili, na kufuata sheria za Asili na za jamii.
mwanamke ukali anautolea wapi wakati ulishampiga mkia sana hadi akazaa na mtoto ???Mtalaka hatongozwi Kelsea .Bidada angekua mkali, huyo bwana wa zamani kumuona mtoto akamuone kwa kina bibi ila home kwa jamaa/mume marufuku kukanyaga.Wengi hawarudi kwa wema wanakuaga na yao.
Mkuu inabidi utuletee uzi maalumu juu ya hili mkuu maana wengi hawana ufahamu juu ya hili.Jidanganye hapo.
Siku ijulikane wewe sio mtoto wa huyo Baba hapo ndio utajua hujui.
Usiishi Kwa kujidanganya au kujifariji hata kama mambo mengine sio uhalisia.
Au kama wewe ni mwanaume subiri Mkeo akuambie mimba aliyoibeba sio yako ndio utaelewa. Vizuri.
Hata kisheria hiyo iko hivyo