Ili alipwe pesa zake inabidi apeleke barua ya kufukuzwa kazi na akishapeleka Nssf watampa form ataipeleka kwa muajili wake ili ijazwe na kisha anatakiwa kuirudisha Nssf, Nssf wakishaipoke na wakajilizisha watamwambia asuburi wiki mbili kungojea malipo yake anayodai.