Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,856
- 25,053
inauma sana aiseeDaah hapo pagumu.sio wewe tu.kuna mdada alikuwa dokta sekta binafsi akaingia serikalini nssf wamegoma.japo ni mifuko tofauti na sidhani kama inahusiana Kwa jambo lolote.hii mifuko ina matatizo
Ni topic mbili tofautiHongera kwa kupata kazi serikalini.
Kweli maana hii ni mifuko miwili tofauti.ukienda nssf asubuhi uwa Wana kama semina.inauma sana aisee
Sheria ipi mwanetu...Naomba Msaada wa Kisheria
System haipo kwaajili ya kusaidia maskini bali kuwauaKweli maana hii ni mifuko miwili tofauti.ukienda nssf asubuhi uwa Wana kama semina .hoja Yao wanapenda kushauri watu wasipende kuchukua Hela zao kabla ya kustaafu.sasa Mimi uwa najiuliza ina maana hawa nssf hawajui kuwa mfuko wao ni watu wa sekta binafsi ?kazi ambazo muda wowote unaachishwa kazi tofauti na wenzetu wa psssf walioajiriwa ajira za kudumu?.nimefukuzwa kazi na miaka 36 yaani nisitoe Hela mpaka nije kuzeeka.sasa hapa kati naishi vp wakati kazi zenyewe waajiri wengi hawatoi nssf?.
nilifungua madai kabla ya kupata kaziSheria ipi mwanetu...
Maana hilo fao, linaitwa fao la kukosa ajira...
Wewe ajira unayo.
Ukifukuzwa kazi au end of contract hata uwe na umri gani sera na sheria yao inakuruhusu kutoa.Kweli maana hii ni mifuko miwili tofauti.ukienda nssf asubuhi uwa Wana kama semina.
Hoja Yao wanapenda kushauri watu wasipende kuchukua Hela zao kabla ya kustaafu.
Sasa Mimi huwa najiuliza ina maana hawa nssf hawajui kuwa mfuko wao ni watu wa sekta binafsi? Kazi ambazo muda wowote unaachishwa kazi tofauti na wenzetu wa PSSSF walioajiriwa ajira za kudumu?
Nimefukuzwa kazi, nina miaka 36 yaani nisitoe Hela mpaka nije kuzeeka?!
sasa hapa kati naishi vp wakati kazi zenyewe waajiri wengi hawatoi nssf?.
Wasiwasi wangu ni kwamba, hata baada ya kufikisha miaka 60 watakuja na stori nyingine kuwa "ulishachukulia mafao yako" au "hatukuoni kwenye mfumo"Hakuna msaada wa kisheria kwenye hii ishu.
Nina ishu kama yako. Niliambiwa labda kile kipindi cha kusubiri kuripoti ndiyo ningekitumia kufuatilia mafao.
Hii ishu pia walinijibu hawawezi kuunganisha mafao ya nssf na kuyaleta pssf ni lazima nisubiri mpaka nifikishe miaka 60.
Hii ilisababisha niseme mgombea urais atayeahidi watu tutachukua mafao yetu kwa kupindua hizi sera za hovyo lazima alambe kura yangu.
Sio kwamba nawatetea hao wahuni(Nssf)nilifungua madai kabla ya kupata kazi
Sasa kama hawawezi kuunganisha mifuko .hyo Hela yako ya nssf si Bora wakupe ina baki inafanya nini?huu utapeli ujue.kuunganisha hamuwezi basi nipeni tuachane hamtaki.yaan daahHakuna msaada wa kisheria kwenye hii ishu.
Nina ishu kama yako. Niliambiwa labda kile kipindi cha kusubiri kuripoti ndiyo ningekitumia kufuatilia mafao.
Hii ishu pia walinijibu hawawezi kuunganisha mafao ya nssf na kuyaleta pssf ni lazima nisubiri mpaka nifikishe miaka 60.
Hii ilisababisha niseme mgombea urais atayeahidi watu tutachukua mafao yetu kwa kupindua hizi sera za hovyo lazima alambe kura yangu.
Kwa confidence uliyoandika hapa wewe upo nssf au ulishiriki kuipitisha hii sheria.Sheria ipi mwanetu...
Maana hilo fao, linaitwa fao la kukosa ajira...
Wewe ajira unayo.
Huo ndio utaratibu Mzee, Kazi ya JpmNilipoteza ajira sekta binafsi(kwa kupewa end of contract letter)November mwaka jana. March mwaka huu nikafungua madai ya mafao yangu NSSF.
Wakati bado ombi langu linafanyiwa kazi, nikapata kazi serikalini na nikaungwa PSSSF.
Baada ya kupokea mshahara wa mwezi mmoja serikalini, Nikapigiwa simu na watu wa NSSF nikaambiwa hawataendelea kuchakata ombi la mafao yangu NSSF kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini hivyo nisubiri nifikishe mika 60 ndipo nikafungue madai upya.
Naomba Msaada wa Kisheria
😭😭😭Sio kwamba nawatetea hao wahuni(Nssf)
Maana hata mimi wameshanisumbua sana...
Ila kwa kesi yako, hapo issu ni wewe kuwa na ajira bila kujali umeipata katika hatua ipi ya mchakato wa madai yako...
kabisaKwa confidence uliyoandika hapa wewe upo nssf au ulishiriki kuipitisha hii sheria.
aiseeSasa kama hawawezi kuunganisha mifuko .hyo Hela yako ya nssf si Bora wakupe ina baki inafanya nini?huu utapeli ujue.kuunganisha hamuwezi basi nipeni tuachane hamtaki.yaan daah