Nimenyang'anywa Watoto wangu na moyo unaniuma maana nawataka sanaa

Wewe wanawake huwawezi, wamekuzidi akili, Na Kuna madhaifu unayo,

Wewe ni sawa na mbuzi beberu anakojoa anatembea, kulea HUWEZI na ni mkwepa majukumu, unakuja humu kulialia humu sanasana unajichoresha wakongwe wa mahusiano tunakuona Ch*k*.#@™¥€££.
 
Alinifanya mjinga

Nikamuona malaya

Huu ndo mchezo unaendelea mijini kati ya wanawake na wanaume.

Mwanamke anakuona boya tu wakati wewe unamuona changudoa tu la kupunguzia penta
Eeehh tuishi tu ... Kwani hi dunia Ni yetu Sasa
 
Sema wote hao unashindwa kuwa na hata mmoja, tafakari sana
 
Una matatizo makubwa hujijui tu ukute huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba
Umeuelewa mkasa, uwezo hapo unatoka wapi? Niliwazaa nikiwa na nao ndani ILA.....

1. Ulitaka nibadili dini, na ILI IWEJE?
2. Ulitaka nikomae na mwenye ukimwi wake? ILI IWEJE
3. Ni mke wa mtu, ULITAKA NIKAIVUNJE NDOA YAKE?
4. Malaya wa Badoo ulitaka nioe Malaya wa social media?

#YNWA
 
SISHANGII STORY KAMA HII KUTOKA KWA MSHABIKI WA LIVERPOOL HAWA JAMAA SIKU ZOTE NI BUTU
We ulitaka...

1. Ulitaka nibadili dini, na ILI IWEJE?
2. Ulitaka nikomae na mwenye ukimwi wake? ILI IWEJE
3. Ni mke wa mtu, ULITAKA NIKAIVUNJE NDOA YAKE?
4. Malaya wa Badoo ulitaka nioe Malaya wa social media?

#YNWA
 
Sio nyeg* removal tu wewe ni sperm donor, bado hauna sifa ya kuitwa “BABA”.

Hao wapenzi uliozaa nao wote umewapata kwa kuunga unga.

1. Ulitaka nibadili dini, na ILI IWEJE?
2. Ulitaka nikomae na mwenye ukimwi wake? ILI IWEJE
3. Ni mke wa mtu, ULITAKA NIKAIVUNJE NDOA YAKE?
4. Malaya wa Badoo ulitaka nioe Malaya wa social media?

#YNWA
 
Damu ni Nzito kuliko Maji, km kweli ni wako watakutafuta tu someday..inaweza kua sio leo wala kesho ila watakutafuta tu. Otherwise km una guts nenda kadai watoto wako..wapigie hesabu wakifika 7yrs nenda kawadai.
Naonea huruma ndoa zao.

#YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom