Nimenyamazishwa kuhusu kuongelea ESCROW

Bahalulu

Senior Member
Dec 21, 2012
107
170
Umepokea pesa kutoka kwa MKOMBOZI BANK, Kiasi Tsh 2,700,000, Ada 0. Salio lako jipya ni 2,700,000. Kumbukumbu no. CI141122.1310.J00474. Ni mgawo wako wa pesa ya Escrow akaunti mana umeonekana unaongea sana. Kwani hujui kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake?

Wakuu me siongelei tena.. nawatakia mapambano mema.
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,484
2,000
watanunu Na Taqo Hizo Wakapambe Kwenye Gheto Zao
We Jichekeshe chekeshe Tu!!
Jigo
 
Bahalulu

Senior Member
Dec 21, 2012
107
170
watanunu Na Taqo Hizo Wakapambe Kwenye Gheto Zao
We Jichekeshe chekeshe Tu!!
Jigo
Mkuu mbona povu linakutoka? Fedha si za Umma hizi, hata me nalitumikia taifa acha nile kinachonihusu, niko Rorya nafundisha shule ya msingi.
 
suleym

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,918
2,000
Umepokea pesa kutoka kwa MKOMBOZI BANK, Kiasi Tsh 2,700,000, Ada 0. Salio lako jipya ni 2,700,000. Kumbukumbu no. CI141122.1310.J00474. Ni mgawo wako wa pesa ya Escrow akaunti mana umeonekana unaongea sana. Kwani hujui kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake?

Wakuu me siongelei tena.. nawatakia mapambano mema.
Mkuu yaan hukuwa na hata hela ya kulinda akaunti?
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,916
2,000
Umepokea pesa kutoka kwa MKOMBOZI BANK, Kiasi Tsh 2,700,000, Ada 0. Salio lako jipya ni 2,700,000. Kumbukumbu no. CI141122.1310.J00474. Ni mgawo wako wa pesa ya Escrow akaunti mana umeonekana unaongea sana. Kwani hujui kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake?

Wakuu me siongelei tena.. nawatakia mapambano mema.
Yaani wewe unavuta 2.7M wakati jamaa zetu hapa JF wanatetea weee asubuhi jioni na wanaambulia Buk 7 kwa Mpesa? Na wao wangepata huo mgawo wa 2.7M sii injekuwa balaa humu JF?
cc MSALANI Simiyu Yetu etc
 
Last edited by a moderator:

Itezi

JF-Expert Member
Feb 8, 2014
389
195
Umepokea pesa kutoka kwa MKOMBOZI BANK, Kiasi Tsh 2,700,000, Ada 0. Salio lako jipya ni 2,700,000. Kumbukumbu no. CI141122.1310.J00474. Ni mgawo wako wa pesa ya Escrow akaunti mana umeonekana unaongea sana. Kwani hujui kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake?

Wakuu me siongelei tena.. nawatakia mapambano mema.
Vinasigana na profile picture yako,,,,ungetoa kwanza hiyo pc
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom