Nimenusurika Moto Mungu ni mwema dah

Kama pressure cooker mfuniko umefunguka wenyewe, maana yake pressure ilikua kubwa na releaf valve iliziba( hili ni bomu)

Tatizo sio gas, bali pressure iliyozidi ilishindwa escape.
 
Swali la kizushi: jiko ni la gesi au umeme? Kama ni gesi main switch inahusikaje?
Kuna majiko ya gas lakini unawashia umeme ignition yake sio automatic. Kama yale ya gas ya kuwashia kiberiti, haya unaweza kuwashia kiberiti au unachomeka waya kwenye switch na kwenye jiko kuna sehemu yake ambayo unakua unawasha na ukifungulia gas unapata moto. Kwahiyo inaonekana ile switch kule ukutani ilikua on baada ya hapo sijui maelezo yaliyofata ilikuaje mpaka ukatokea moshi kwenye switch (sijamuelewa) ila kwa kuwa ile switch iliyowaka ni umeme lazima akazime kwenye main switch.

Kidogo utakua umeelewa nadhani
 
Pole Sana
Miss natafuta...
🙉
Leo
Tungekukosa kiutani🙊

Angebaki
Miss Zomboko...

Behaviorist alishakutabiria mabaya😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom