Nimenusurika Moto Mungu ni mwema dah

Nipo jikoni mida hii nilikuwa napika maharage kwenye pressure cooker kwenye gesi.

Nilikuwa sijazima ukutani socket ya kuwashia gesi. Bahati mbaya pressure cooker sijui mfuniko umebust wapi lilishakolea Moto ile prresure ikaanza kutoka jiko lote limejaa Moshi na socket ukutani ikaanza kuwaka.

Nimekimbilia tu kwenye mainswitch kuzima, just imagine angekuwa dada tu na mtoto? Mungu ni mwema wapendwa nishawasha mkaa sirudii tena.
malaika mtoa roho huwa hajali hyo! sjui kwa nini...!!pole, usimwambie mumeo 😌
 
Pole sana Mkuu,Mimi Majiko ya gesi au ya umeme ni marufuku kwangu! Natumia Jiko la mchina na Mkaa tu.
 
Nipo jikoni mida hii nilikuwa napika maharage kwenye pressure cooker kwenye gesi.

Nilikuwa sijazima ukutani socket ya kuwashia gesi. Bahati mbaya pressure cooker sijui mfuniko umebust wapi lilishakolea Moto ile prresure ikaanza kutoka jiko lote limejaa Moshi na socket ukutani ikaanza kuwaka.

Nimekimbilia tu kwenye mainswitch kuzima, just imagine angekuwa dada tu na mtoto? Mungu ni mwema wapendwa nishawasha mkaa sirudii tena.
Hebu tulia kwanza, kunywa maji kiasi
Unapika maharage kwenye preshakuka ukasahau kuzima soketi ukutani kwenye gesi, unakimbilia kwenye meini swichi! Miss Natafuta habari za asubuhi, naona itakuwa ulikesha mitaa ya Ohio unatafuta, sasa ndoto za mchana zimekuletea maluelue. Hilo jiko unalotumia ni la kipekee kwani limetengenezwa na wamang'ati, hao watakupa ushauri.
 
Nipo jikoni mida hii nilikuwa napika maharage kwenye pressure cooker kwenye gesi.

Nilikuwa sijazima ukutani socket ya kuwashia gesi. Bahati mbaya pressure cooker sijui mfuniko umebust wapi lilishakolea Moto ile prresure ikaanza kutoka jiko lote limejaa Moshi na socket ukutani ikaanza kuwaka.

Nimekimbilia tu kwenye mainswitch kuzima, just imagine angekuwa dada tu na mtoto? Mungu ni mwema wapendwa nishawasha mkaa sirudii tena.
Achana na hilo pressure cooker,ndo chanzo cha tatizo
Jiko lako likarabati endelea kutumia

Maharage sehemu nzuri ya kupika ni kwenye mkaa.Na kwa sufuria ya kawaida.tenga mda wa kutosha.
Mi ndugu yangu huwa anachukua maharage kama kilo mbili na mkaa wa kutosha anayachemsha yakiiva na kukauka maji anayaacha yapoe kisha anayaweka kwenye kontena kubwa au bakuli kubwa anayahifadhi juu kwenye friji.akitaka kupika anajua kabisa Leo ntapika maharage analishush kontena or bakuli chini liyeyuke kisha anachota kiasi anachotaka na kuunga moja kwa moja.

Yanaweka kwa wiki mbili ukiyagandisha
 
Post hii inaonesha jinsi uwezo mdogo wa kufikiri unavyowakabili memba wa JF of GT's, wengi wanakurupuka kujibu bila kuisoma hoja na kuielewa. Miss Natafuta alichoandika hakieleweki kwani hilo jiko la gesi halieleweki hiyo gesi inawashwa kwenye soketi na meini swichi! Mfuniko wa preshakuka ukifunuka ni mvuke utatoka ndani ya sufuria na siyo gesi, gesi hawezi kulipuka kwa sababu swichi haijazimwa, labda kama gesi inavuja nawe ukawasha swichi yenye umeme.
Habari yote ya tukio haieleweki, naona ni ndoto zake tu baada ya kutafuta na kukosa.
 
Kumbe ulikuwa naye!??? Au wewe ndiye ulitibua majanga!???
 
kikubwa hukupanick,na ndio somo linalofelisha wengi wakati wa majanga.

mwengine angeparamia maji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom