Nimenusurika Moto Mungu ni mwema dah

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,558
45,828
Nipo jikoni mida hii nilikuwa napika maharage kwenye pressure cooker kwenye gesi.

Nilikuwa sijazima ukutani socket ya kuwashia gesi. Bahati mbaya pressure cooker sijui mfuniko umebust wapi lilishakolea Moto ile prresure ikaanza kutoka jiko lote limejaa Moshi na socket ukutani ikaanza kuwaka.

Nimekimbilia tu kwenye mainswitch kuzima, just imagine angekuwa dada tu na mtoto? Mungu ni mwema wapendwa nishawasha mkaa sirudii tena.
 
Nipikie tu mkaa sasa dah hizi gesi sio
IMG_20210122_191541_6.jpg
 
Nipo jikoni mida hii nilikuwa napika maharage kwenye pressure cooker kwenye gesi.

Nilikuwa sijazima ukutani socket ya kuwashia gesi. Bahati mbaya pressure cooker sijui mfuniko umebust wapi lilishakolea Moto ile prresure ikaanza kutoka jiko lote limejaa Moshi na socket ukutani ikaanza kuwaka.

nimekimbilia tu kwenye mainswitch kuzima.just imagine angekuwa dada tu na mtoto?? Mungu no mwema wapendwa nishawasha mkaa sirudii tena
Acha woga!
 
Nipo jikoni mida hii nilikuwa napika maharage kwenye pressure cooker kwenye gesi.

Nilikuwa sijazima ukutani socket ya kuwashia gesi. Bahati mbaya pressure cooker sijui mfuniko umebust wapi lilishakolea Moto ile prresure ikaanza kutoka jiko lote limejaa Moshi na socket ukutani ikaanza kuwaka.

Nimekimbilia tu kwenye mainswitch kuzima, just imagine angekuwa dada tu na mtoto? Mungu ni mwema wapendwa nishawasha mkaa sirudii tena.
Mungu ni mwema Kila wakati
 
Ingekuwa kila unapopata janga unaacha kwa sasa pengine usingekuwa na mtoto au usingekuwa unaendelea kutiwah. Maana baada mara ya kwanza kutokwa damu kwenye papuchi ungeachana na hiyo issue ungehamia kwenye blow job tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom