Nimenusurika kichapo mfungo huu wa ramadhani

Kwa hiyo Zanzibar ni nchi ya kiislam? Wazanzibar mnakwama wapi? Ndo maana haitokuja kutokea mkajitawala wenyewe mtatuletea Alshabab nyie. Hii dini inayoitwa dini ya haki, mbona sasa hakuna haki ya watu kuishi wapendavyo? Mm sitaki kufunga, ww wanilazimisha kufunga,..je dhambi zangu ni zako?
 
Sijui unazungumzia haki gani mbona waZanzibari tunawapenda sn na Zanzibar ni sehem nzuri ndio maana hata mie nipo huku kwa sasa na nimepapenda na nimependa sana mabinti wa huku wanavyojistahi, na nnatamani siku moja nipate mmoja wa kudumu nae, sema leo mmenitia uchungu sana jamani.
Sisi hatukatai watanganyika kuja kwetu ila vita viwili hatutavikubali
Mosi kuharibiwa mila na tamaduni zetu ambao ndio ID ya Mzazibar
Pili kujitia ktk harakati za kisiasa na kutuchagulia viongoz ktk hali ambayo KATIBA HAIWARUHUSU
 
muongo wewe,,yani waisilamu kabisa wakuweke mtu kati alafu uchoropoke,ww acha kabisa utani,,,
Inategemea ni wa wapi na wako katika hali gani, wengine huwa wazembe tu ningekua nao chemba tungeupanga tu sema, ilikuwa kuna watuwatu so wangenianzishia pale lazima idadi ingeongezeka.
 
Umekosea. Hiyo ilikuwa ni sehemu sahihi ya kuonyesha uanamme wako. Hapo ulitakiwa ufe na mmoja. Sheria ilikuwa upande wako.
 
Kwa hiyo Zanzibar ni nchi ya kiislam? Wazanzibar mnakwama wapi? Ndo maana haitokuja kutokea mkajitawala wenyewe mtatuletea Alshabab nyie. Hii dini inayoitwa dini ya haki, mbona sasa hakuna haki ya watu kuishi wapendavyo? Mm sitaki kufunga, ww wanilazimisha kufunga,..je dhambi zangu ni zako?
Hulazimishwi kufunga wewe PUNGUWANI
Tatizo uharibifu wa mila na desturi zetu ambazo ndio utambulisho wetu
Unafikir hakuna wazanzibar wasio funga wapo
Kula ndani fanya kila kitu ndali huingiliwi na Mtu
But huu ni utaratibu tuliojiwekea Wenger huwez ondoka Juanita
FULL STOP
 
Sisi hatukatai watanganyika kuja kwetu ila vita viwili hatutavikubali
Mosi kuharibiwa mila na tamaduni zetu ambao ndio ID ya Mzazibar
Pili kujitia ktk harakati za kisiasa na kutuchagulia viongoz ktk hali ambayo KATIBA HAIWARUHUSU
Kwanza tamaduni huwa zina kawida ya kubadilika kulingana na muda, muktadha na majanga pia huoni kuna wamasai wanakula dagaa siku hz, na hayo mabadiliko huwezi yazuia.
 
Inategemea ni wa wapi na wako katika hali gani, wengine huwa wazembe tu ningekua nao chemba tungeupanga tu sema, ilikuwa kuna watuwatu so wangenianzishia pale lazima idadi ingeongezeka.
Wewe n Mjinga nakwambia tena ww ni Mjinga umeleta Thread hii kuchochea chuki zenu kwetu huna lolote zaid nafkr unawashwa washwa km alivyosema bwana yuleee
 
Umekosea. Hiyo ilikuwa ni sehemu sahihi ya kuonyesha uanamme wako. Hapo ulitakiwa ufe na mmoja. Sheria ilikuwa upande wako.
Hata mie nimekaa nikajifikiria sana nikaona nimeidhalilisha sana jamii ya wanaume wenzangu, sitowaangusha tena, leo nimeanza kwanza kwa kuangalia youtube jinsi ya kupambana na watu wa4 nakuendelea.
 
Kwa hiyo Zanzibar ni nchi ya kiislam? Wazanzibar mnakwama wapi? Ndo maana haitokuja kutokea mkajitawala wenyewe mtatuletea Alshabab nyie. Hii dini inayoitwa dini ya haki, mbona sasa hakuna haki ya watu kuishi wapendavyo? Mm sitaki kufunga, ww wanilazimisha kufunga,..je dhambi zangu ni zako?
Kama hii nchi ni ya BABA yako haitotokea sisi kujitawala vyenginevyo nioneshe MAAMUZI YATAKUA NI YETU WENYE MEZA WA VIWEMBE NA CHUKI ZAKO FISI WA LUMUMBA
 
Hata mie nimekaa nikajifikiria sana nikaona nimeidhalilisha sana jamii ya wanaume wenzangu, sitowaangusha tena, leo nimeanza kwanza kwa kuangalia youtube jinsi ya kupambana na watu wa4 nakuendelea.
Hao sio wapiganaji. Ni watu kama wewe. Ukimfanya vibaya mmoja wengine wataingiwa hofu ya Mungu na Daktari wa minyoo
 
TANGANYIKA NI YA WATANGANYIKA NA ZANZIBAR NI YA WAZANZIBAR
TUHESHIMIANE
 
We nae umewapa kichwa sana kuwakimbia, yani umgewafumua vibaya sana hao jamaa, nini maana ya kushindana na majaribu sasa........ukisema huu mwezi wa mfungo mi sili wala sinywi halafu wakati huo mnalazimisha hotel na bar zifungwe maana yake ni kwamba imani yenu ni haba, pumbaf sana
 
Wewe n Mjinga nakwambia tena ww ni Mjinga umeleta Thread hii kuchochea chuki zenu kwetu huna lolote zaid nafkr unawashwa washwa km alivyosema bwana yuleee
Jamaa inaonekama mtu wa mihemko sana, acha tabia za kuwa unapaniki mapeema relax kabisa.
 
Back
Top Bottom