Nimenusurika kichapo mfungo huu wa ramadhani

Nimenusurika kichapo mfungo huu wa ramadhani

kesho ubebe Beto a.k.a Baga a.k.a Jambia a.k.a Pampam, lishikd tu mkononi halafu endelea kutafuta karanga zako kwa amani kabisa
 
dini ya Amani

hao ndio wanaharibu dini na hapo ukute hata wao hawajafunga

ila umebugi kutoka nduki.. huwa hawanaga nguvu.!
................Wanatembea na visu hao balaa hao siyo watu wa kawaida hao ni sawa na robot!!!

Wakifungua kile kitabu chao utasikia wanasoma maneno mawili matatu kwa kiarabu yakisimama kama ndo hukumu yako kutoka kwa allaa kisha sekunde unakuta kichwa kinadunda dunda chini kiwiliwili kinakatika viuno kule pembeni roho ikihangaika kutoka.
 
kesho ubebe Beto a.k.a Baga a.k.a Jambia a.k.a Pampam, lishikd tu mkononi halafu endelea kutafuta karanga zako kwa amani kabisa
Yani nna mpango wa kupata jambia kabisa. Natafuna njugu zangu huku nalirusharusha afu nzi anisogelee sasa.
 
Hao jamaa bure sana
Nyinyi ndio bure mumepewa kil, neema mnamaziwa mna bahari mna mbuga mna milima mna dhahab mna gesi mna bandari mpo milion zaid ya 60 lkn hamtosheki bado mwavitaka na Visiw vyetu hamkai kwenu hamtosheki Misisiemu kazi kula w fitisha tuu Wazanzibar
TUWACHENI TUPUMUE
 
Nyinyi wamatumbi muendelee hvyo hvyo kuhakikisha Wazanzibar hawakai meza moja lkn siku wakikubaliana tuu
TUTAHESHIMIANA HAPA
 
Nyinyi ndio bure mumepewa kil, neema mnamaziwa mna bahari mna mbuga mna milima mna dhahab mna gesi mna bandari mpo milion zaid ya 60 lkn hamtosheki bado mwavitaka na Visiw vyetu hamkai kwenu hamtosheki Misisiemu kazi kula w fitisha tuu Wazanzibar
TUWACHENI TUPUMUE
Tulia ueleweke mbona kama unatoa povu pasipo na umuhimu
 
Shukuru.Mungu ungeliwa kiboga baada ya kichapo heavy toka kwa maustadhi! (Wangekufuturu)
Yaani mtu mzima unabeba Karanga na kutafuna barabarani? Kwanini usile huko huko home kwako?
Nyie ndio mnaotafuna BIG G kuanzia asubuhi hadi jioni??
Kuna sheria inayokataza mtu kula karanga barabarani?
 
we pita tu unatafuna tafuna unakula bakora mpaka unajihisi upo paradiso
 
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu wahenga walisema. Tuishi kwa upendo ndugu.
Udugu ni jambo jema lkn unatangaza udugu umenishikia mtutu na hata kuniuwa siwezi nikakubali udugu huo rejea mlichotufanyia 2001
 
MILA NA TAMADUDI ZETU MITANGANYIKAMISISIEM KWA MAKUSUD MAZIMA MMEKISUDIA KUZIVUNJA KUHARIBU SILKA NA TAMADUNI ZETU KWA DHANA YA KWAMBA NYINYI NDIO WENYE HAKI JUU YA KILA KITU KUHUSU NCHI HII HILI NI MOJA YA KERO LIVE A ZA UKULONI WA MISISIEM NA DOLA YAO NA JESHI LAO DHIDI YA WAZANZIBAR WASIO NA UWEZO WA KUJILINDA NA KUJIHAMI
ZAID YA MARA TANO TUSHA KUKATAENI MITANGANYIKAMISISIEMU BADO MNADHIDI KUTUKALIA KUJESHI NA XX KILA SIKU MNALETA MISUKUMA KUJA KUHARIBU TAMADUNI SILKA DESTURI HADI LUGHA YETU ADHIMU
TUTASIMAMA KIDETE KM MLISHUNDWA KTK MIAKA 50 ILIYOPITA KAMWE HAMASHINDA MIAKA 100 IJAYO

ZANZIBAR NI YA WAZANZIBAR
Mbona unapayuka payuka?
 
hivi ni sheria kabisa kuwa hupaswi kuonekana unakula kipindi cha mfungo au tamaduni tu?
 
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu wahenga walisema. Tuishi kwa upendo ndugu.
WATANGANYIKA MBN SIS I TUMEZALIWA TUMEWAKUNA NA WAZEE WETU WALIISHINAO VIZURI TUU NA TUKAWASAIDIA KWA KILA HALI NA WAKIFANYA MAMBO YAO BILA BUGHDHA YOYOTE HUWEZI LAZIMISHWA KUFUNGA TUNACHPIGANIA KUWEKE HESHIMA KULA KUNYA FANYA UTAKALO LKN C KUJIINESHA KUSHINDANA NA KUTUVUNJIA UTU WETU KWA MAKUSUDI NO!!

NILIWAHI KUANDIKA HUMU KWAMBA KUNAJITIHADA ZA MAKUSUDI ZA DOLA LA CCMTANGANTIKA KUUTAKA KUUA TAMADUNI ZETU NA MILA ZETU HAPO HATUTOKUBALIANA
 
My point is sera yanu miccm ni kutaka serikali moja muvifute visiwa hv ktk ramani ISSUE c kula issue why munayafanya haya kwa sababu tuu MNATUTAWALA KWA MTUTU vinginevyo musingeleta ushindani huu wakijinga
Sasa ccm na hao wanapiga wenzao vinaingilianaje?
 
Back
Top Bottom