Ningetembeza ngumi hatar fayaaadini ya Amani
hao ndio wanaharibu dini na hapo ukute hata wao hawajafunga
ila umebugi kutoka nduki.. huwa hawanaga nguvu.!
Sasa kama ni dini ya haki waache kujitwalia mamlaka ambayo sio yao kwann wasimwachi Mnyaaz Mungu mwenyewe kazi ya kuwaadhibu wakosaji.Hii ndio Din ya haki, yaani Din ya MnyaazMngu
Hawa watu wanamchezo asee make unaweza jikuta unachezea kibano kimasiharamasihara tu yani.Kumekucha,
kuna mwingine kaleta uzi hapa kwamba ilibaki kidogo awafanyie mauaji ya halaiki watu kama hao Magomeni,walipoona katoa bastola wakasambaratika
Nadhani na wao wakipewa kibano wataachaHawa watu wanamchezo asee make unaweza jikuta unachezea kibano kimasiharamasihara tu yani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui uliniponyokaje pale tulipanga tukutandike leo,ila una mbio na hayo matege yako
sijui uliniponyokaje pale tulipanga tukutandike leo,ila una mbio na hayo matege yako
Kuanzia kesho ni mwendo wa judo tu, sicheki na mtu. Na karanga nakula tena siachi.Nadhani na wao wakipewa kibano wataacha
Kuanzia kesho ni mwendo wa judo tu, sicheki na mtu. Na karanga nakula tena siachi.
Haa hii sasa ni too much hadi karanga ya mia au mia mbili nijifungie ndani, Kwakweli inasikitisha mnooo.Pole mkuu siku nyingine utafune karanga ndani kwako
Asante mkuu.
Wewe ndio Hatari ulietoka CHATO ukaja kwetu tukakukaribisha hatimae ukatufanyia USHENZ WA KIBARAHawa watu hatari sana yani hadi karanga tu kutafuna shida, yani mtu hata kumumunya pipi hadharani tu wanaweza wakakukabiri. Very pathetic people,
Hiki kisiwa huwa kinakua kichungu sana kipindi kama hiki.
MILA NA TAMADUDI ZETU MITANGANYIKAMISISIEM KWA MAKUSUD MAZIMA MMEKISUDIA KUZIVUNJA KUHARIBU SILKA NA TAMADUNI ZETU KWA DHANA YA KWAMBA NYINYI NDIO WENYE HAKI JUU YA KILA KITU KUHUSU NCHI HII HILI NI MOJA YA KERO KUBWA YA UKULONI WA MISISIEM NA DOLA YAO NA JESHI LAO DHIDI YA WAZANZIBAR WASIO NA UWEZO WA KUJILINDA NA KUJIHAMI
ZAID YA MARA TANO TUSHA KUKATAENI KTK VISANDUKU LKN MITANGANYIKAMISISIEMU BADO MNADHIDI KUTUKALIA KUJESHI NA XX KILA SIKU MNALETA MISUKUMA KUJA KUHARIBU TAMADUNI SILKA DESTURI HADI LUGHA YETU ADHIMU
TUTASIMAMA KIDETE KM MLIVYONDWA KTK MIAKA 50 ILIYOPITA KAMWE HAMATASHINDA MIAKA 100 IJAYO
ZANZIBAR NI YA WAZANZIBAR
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu wahenga walisema. Tuishi kwa upendo ndugu.Wewe ndio Hatari ulietoka CHATO ukaja kwetu tukakukaribisha hatimae ukatufanyia USHENZ WA KIBARA