Nimenusurika kichapo mfungo huu wa ramadhani

Kumbe we ni mpumbafu, tangu mwanzo nakujibu kwa heshima halafu unaniita mi chizi, kiti moto wa porini wewe
Nisamehe GENERAL nilifikir ni wale wale nafuta neno langu CHIZI Mkuu lkn CONCEPT yangu utakuwa umeifaham
SAMAHANI SANA
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole Mkuu lakini huo si ustaarabu hata chembe. Wajue si kila mtu ni muislamu Zenj.

Kwanza kabisa naomba mnipe pole wanajamvi kabla hata ya kutoa maelezo yoyote yale.

Leo mida ya saa 6 mchana hv nlikua nakatiza mitaa flani hapa znz nikiwa natafuna zangu vikaranga tu vichache nilivyotoka navyo home, Eeeh bwana eeeh si nkashangaa ghafla tu nimezungukwa na njemba ka 5 hv.

Zikaanza kunihoji kwann nimekua mkaidi kiasi hicho cha kuwaharibia watu swaumu zao, yani nikawa najaribu kujielezea huku nimekwidwa kama kibaka.

Nikawaomba wazee waniachie kidogo nijieleze duh, mshikaji ameniachia shati tu nmechomoka kama mshale. Yaani siamini kama nimenusurika kula kichapo kutoka kwa masheikh asee.

Kwakweli sitarudia hata kumeza mate mbele ya watu ktk kipindi hiki cha mfungo hapa Zanzibar.
 
Ile mishuti anayopiga Fei Toto unasema hawana nguvu?!
Vipaji vinazaliwa ZANZIBAR na vinauliwa Tanganyika
Unakumbuka TANZANIA ONE
ALI BUSHIRI kisha akaja
RIFAT SAID??
Na wengine wengi
Ndio maana ktk CHALLENGE CUP aitokei katimu cheno wakapenya mbele ya ZANZIBAR HEROES
 
Hao malofatu.

Juzi tu niko huko na jamaa zangu katika harakari zetu za kiupambanaji kweli tukawa tunatafuna tafuna biscuti mara yakaja majamaa mbele yetu yakaanza kuruletwa ungese tukayakomalia na kuyatolea mimacho.

Yalivyoona maumbo yetu tumepanda na tumejazia yalikopotelwa hatujuwi.

Nilichogundua haya mangese yakikuona lofalofa yanakuletwa ungese pia
 
Leo siku imeisha.
Tusubiri kesho sijui itakuwa wapi kwengine atakapotishiwa mtu kupigwa kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani!.
 
pole Mkuu lakini huo si ustaarabu hata chembe. Wajue si kila mtu ni muislamu Zenj.
Moja ya sehemu zenye makanisa Makongwe zaid E.A ni ZANZIBAR
Na historia ina sema Mfalme wa ZANZIBAR aliwahi toa Ardhi kwa ajili ya ujenz wa kanisa
HIZI CHUKI MNAZIPANDIKIZA WATANGANYIKACCM KM GIA YA KUPATA UHALALI WA KUIKALIA KWA MABAVU VISIWA VYETU
 
Hao malofatu.

Juzi tu niko huko na jamaa zangu katika harakari zetu za kiupambanaji kweli tukawa tunatafuna tafuna biscuti mara yakaja majamaa mbele yetu yakaanza kuruletwa ungese tukayakomalia na kuyatolea mimacho.

Yalivyoona maumbo yetu tumepanda na tumejazia yalikopotelwa hatujuwi.

Nilichogundua haya mangese yakikuona lofalofa yanakuletwa ungese pia
Unalolote ww watu wanaweza kukula DAKU mchana mchana usipime dogo mwili wakubeba vifusi na zege kwa miili iliyojegwa ufukweni
 
Mie wala sijawahi kupandikiza chuki na wala sina mpango huo. Mie si Mungu wa kumuamulia binadamu mwenzangu namna ya kuishi maisha yake.

Moja ya sehemu zenye makanisa Makongwe zaid E.A ni ZANZIBAR
Na historia ina sema Mfalme wa ZANZIBAR aliwahi toa Ardhi kwa ajili ya ujenz wa kanisa
HIZI CHUKI MNAZIPANDIKIZA WATANGANYIKACCM KM GIA YA KUPATA UHALALI WA KUIKALIA KWA MABAVU VISIWA VYETU
 
Hao malofatu.

Juzi tu niko huko na jamaa zangu katika harakari zetu za kiupambanaji kweli tukawa tunatafuna tafuna biscuti mara yakaja majamaa mbele yetu yakaanza kuruletwa ungese tukayakomalia na kuyatolea mimacho.

Yalivyoona maumbo yetu tumepanda na tumejazia yalikopotelwa hatujuwi.

Nilichogundua haya mangese yakikuona lofalofa yanakuletwa ungese pia
Si unaona wamasai wenu wanavyouza shanga nyengine tunawavisha fresh tuu uwo ujanja uko uko tuu apa SIMBA KANYWESHWA CHAI NA AKATULIA
 
Leo siku imeisha.
Tusubiri kesho sijui itakuwa wapi kwengine atakapotishiwa mtu kupigwa kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani!.
MUWE WASTAARABU KIPINDI CHA KUGOMBEA UHURU NYERERE ALIPO FIKA TANGA ALIFUNGA NA AKAFANYIWA MAKAFARA COZ ALIKUA AKIHESHIMU MILA ZA WATU NA SI KWAMBA ALISILIMU NO JUST KUWA KIJAMII ZAIDI
 
Tena mi natafunaga tu mbele yaoo ,wananitoleaa mijicho tuu ,ila hawathubutuu huo upuuuzi ,juzii nilikuwa napiga tikiti langu mbele ya msikitii na maustadhii kama wotee ,naona kabisa wanamind ila ndo wakujitoa kafaraa anakosekana
 
MUWE WASTAARABU KIPINDI CHA KUGOMBEA UHURU NYERERE ALIPO FIKA TANGA ALIFUNGA NA AKAFANYIWA MAKAFARA COZ ALIKUA AKIHESHIMU MILA ZA WATU NA SI KWAMBA ALISILIMU NO JUST KUWA KIJAMII ZAIDI
Hujaelewa mantiki yangu mkuu.
 
Tena mi natafunaga tu mbele yaoo ,wananitoleaa mijicho tuu ,ila hawathubutuu huo upuuuzi ,juzii nilikuwa napiga tikiti langu mbele ya msikitii na maustadhii kama wotee ,naona kabisa wanamind ila ndo wakujitoa kafaraa anakosekana
Wacha sifa za kijinga wee TOBWE kufanya hvyo nikuwaleta Wazanzibar pamoja zaigi na mwisho wasiku kwa umoja wao watawaona nyinyi c ndugu zao bali ni adui zao wakifikia hapo hata hiyo msisiemu inayowakingia kifua itawageuka
HAPO PATAKUA PATAMU
TOBWE ENDELEA TUU WALETE WAZANZIBAR PMJ URAHISISHE KAZI WE TOBWE FROM CHATO
 
Back
Top Bottom