Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,247
- 42,004
Haki gani unayoitaka?Ndo nikupayukie tuu MTANGANYIKA ujuwe kwamba hunitendei HAKI
Haki gani unayoitaka?Ndo nikupayukie tuu MTANGANYIKA ujuwe kwamba hunitendei HAKI
Itoshe wewe kuzijua zakoKwa kifupi wewe huzijui haki zako!
Sasa si Mchague chama kingine kwani mmekatazwa?My point is sera yanu miccm ni kutaka serikali moja muvifute visiwa hv ktk ramani ISSUE c kula issue why munayafanya haya kwa sababu tuu MNATUTAWALA KWA MTUTU vinginevyo musingeleta ushindani huu wakijinga
GOOD QUESTIONHaki gani unayoitaka?
GOOD QUESTIONHaki gani unayoitaka?
Tuchague mara ngambi??Sasa si Mchague chama kingine kwani mmekatazwa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe kwa nini utembee barabarani unatafuna tafuna[emoji23][emoji23].
Hivi kuna jeshi ambalo linafanya kazi ya kuangalia wanaokula? Maana sitaki kuamini watu wanaacha kufanya kazi wanaangalia wanaokula.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya niangue kichekoNa wewe kwa nini utembee barabarani unatafuna tafuna[emoji23][emoji23].
Hivi kuna jeshi ambalo linafanya kazi ya kuangalia wanaokula? Maana sitaki kuamini watu wanaacha kufanya kazi wanaangalia wanaokula.
Nishasema sasa mtu kama hajipendi kuanzia kesho alete uso wake wakati natafuna karanga zangu.Wewe bwege tuu mshezn huna lolote
Nafikiri huko baadhi wakifunga, hakuna shughuli nyingine zaidi ya kuusikilizia mfungo na kusubiri kufuturu. Hivyo usishangae jambo kama hilo mtu akakamatwa.Na wewe kwa nini utembee barabarani unatafuna tafuna[emoji23][emoji23].
Hivi kuna jeshi ambalo linafanya kazi ya kuangalia wanaokula? Maana sitaki kuamini watu wanaacha kufanya kazi wanaangalia wanaokula.
Watakula bapa za sikio mpaka wasikie kale kamlio ka nzwiiiii kwa muda wa masaa mawili mfululizo.we pita tu unatafuna tafuna unakula bakora mpaka unajihisi upo paradiso
Yamepinduliwa lini?Tuchague mara ngambi??
Au hujuu kwamba maamuzi yetu yanapinduliwa Kwa MTUTU WA TANGANYIKA???
Na kufunga ni kuyashinda majaribu yanayokukabili. Sasa huko unafunga, ila ukimwona mtu anakula unashindwa kulidhibiti jaribu dogo kama hilo? Huu mfungo una nia nao ya dhati kujinyima?Mi ninavyo jua HASIRA na VISASI ni kazi za shetani. Najua pia mtu akiwa kwenye mfungo hua anakua karibu sana na Mungu and hence hata tabia zinaweza kufanana na tabia za Mungu kwa mbaaaali na ndio maana watu wakifunga huaga wanatoa vitu vyao kuwapa masikini nk, sijui aina hi ya hawa "wacha mungu" sijui kwanini wana hasira namna hi, ukweli sijui.
Sijui unazungumzia haki gani mbona waZanzibari tunawapenda sn na Zanzibar ni sehem nzuri ndio maana hata mie nipo huku kwa sasa na nimepapenda na nimependa sana mabinti wa huku wanavyojistahi, na nnatamani siku moja nipate mmoja wa kudumu nae, sema leo mmenitia uchungu sana jamani.Ndo nikupayukie tuu MTANGANYIKA ujuwe kwamba hunitendei HAKI
Nimechekaje!!? Dah! Kumbe hawanaga Nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dini ya Amani
hao ndio wanaharibu dini na hapo ukute hata wao hawajafunga
ila umebugi kutoka nduki.. huwa hawanaga nguvu.!