Nimenusurika kichapo mfungo huu wa ramadhani

Nimenusurika kichapo mfungo huu wa ramadhani

TANGANYIKA NI YA WATANGANYIKA NA ZANZIBAR NI YA WAZANZIBAR
TUHESHIMIANE
Asema mwanasiasa wa mihemuko anaeleta siasa za darasa la sita. Nchi haiendeshwi kama kuongoza familia nchi inaongozwa na katiba na sio mihemko ya kijingakijinga.
 
We nae umewapa kichwa sana kuwakimbia, yani umgewafumua vibaya sana hao jamaa, nini maana ya kushindana na majaribu sasa........ukisema huu mwezi wa mfungo mi sili wala sinywi halafu wakati huo mnalazimisha hotel na bar zifungwe maana yake ni kwamba imani yenu ni haba, pumbaf sana
Mzee nlipigwa na butwaa, yani akili yangu yote ilikua nipate upenyo nilale mbele.
 
Asema mwanasiasa wa mihemuko anaeleta siasa za darasa la sita. Nchi haiendeshwi kama kuongoza familia nchi inaongozwa na katiba na sio mihemko ya kijingakijinga.
Rejea Katiba ya ZANZIBAR uone jinsi gani munavyoivunja nyinyi wapumbavu mkiambiwa mnakimbilia eti MIHEMKO
NA ukisema KATIBA MM KATIBA YANGU NI YA ZANZIBAR NA KATIBA YANGU INAITAMBUA ARDHI YANGU KAMA NCHI
 
GOOD QUESTION
Nataka MAMLAKA KAMILI
Nataka RAIS WANGU ASICHAGULIWE DODOMA
Nataka BAADA KUMCHAGUA RAIS WANGU ASIAPISHWE TANGANYIKA KM WAZIRI
Nataka TUWE NA UWEZO WA KUTAMBULIKA KIMATAIFA
Nataka BENDERA YANGU
Nataka WAZANZIBAR wakifanya makosa yoyote Washtakiwe na KUHUKUMIWA haha hapa coz tunasheria na MAHAKAMA ZETU
Unataka kwa kupayuka payuka huku jf?
Jitokezeni barabarani mkadai hizo unazoziita haki.
Mchekee kichapo hadi mchakae.
 
Asema mwanasiasa wa mihemuko anaeleta siasa za darasa la sita. Nchi haiendeshwi kama kuongoza familia nchi inaongozwa na katiba na sio mihemko ya kijingakijinga.
WW MWEHU HUNA CHAKUNAMBIA MM NA SIASA ZENU ZA UDIKTETA UCHWARA NYAMA KIMYAAA
 
Hata sisi hatuwalazimishi ktk fungi wetu ila
ADABA ADABA ADABU NASEMA MUWE NA ADABU MITANGANYIKA ABOOOO!!!
Hawanaga nguvu hao, tandika makofi halafu hakuna kukimbia ila wao ndo ungewaona wanatoka nduki...... Mbona sisi huwa hatuwalazimishi kwenye mfungo wetu
 
Hata sisi hatuwalazimishi ktk fungi wetu ila
ADABA ADABA ADABU NASEMA MUWE NA ADABU MITANGANYIKA ABOOOO!!!
Ukisema kwamba unafunga halafu unazuia wengine wa imani tofauti na yako wasile maana yake nini sasa
 
Kwanza kabisa naomba mnipe pole wanajamvi kabla hata ya kutoa maelezo yoyote yale.

Leo mida ya saa 6 mchana hv nlikua nakatiza mitaa flani hapa znz nikiwa natafuna zangu vikaranga tu vichache nilivyotoka navyo home, Eeeh bwana eeeh si nkashangaa ghafla tu nimezungukwa na njemba ka 5 hv.

Zikaanza kunihoji kwann nimekua mkaidi kiasi hicho cha kuwaharibia watu swaumu zao, yani nikawa najaribu kujielezea huku nimekwidwa kama kibaka.

Nikawaomba wazee waniachie kidogo nijieleze duh, mshikaji ameniachia shati tu nmechomoka kama mshale. Yaani siamini kama nimenusurika kula kichapo kutoka kwa masheikh asee.

Kwakweli sitarudia hata kumeza mate mbele ya watu ktk kipindi hiki cha mfungo hapa Zanzibar.
Vizuri nikuwa usirudie tena. Watakumaliza. Na unabahati kubwa monoooo kijana.
 
Ni wapuuz tu Hao Kwan kufunga kwao na mm kula inawahusu Nini? Ni mijitu ya Shari Shari mipuuz puuz Ni kutokana na elimu ndogo
 
UKIWA ROMA FANYA KAMA WAFANYAVYO WAROMU
Msemo wa kidhungu unaonesha umuhimu KUCHUNGA NI DHAMU NA HESHIMA UGENINI HATA KM HUWAFIKIANI NA WAKIFANYACHO

TUHESHIMIANEE WATANGANYIKAAA
Ukisema kwamba unafunga halafu unazuia wengine wa imani tofauti na yako wasile maana yake nini sasa
 
UKIWA ROMA FANYA KAMA WAFANYAVYO WAROMU
Msemo wa kidhungu unaonesha umuhimu KUCHUNGA NI DHAMU NA HESHIMA UGENINI HATA KM HUWAFIKIANI NA WAKIFANYACHO

TUHESHIMIANEE WATANGANYIKAAA
Hapo ndipo unapotakiwa kupima imani yako, unafunga halafu unashuhudia jirani yako anakula/kunywa, unatakiwa ujue hayo majaribu unakabiliana nayo vp?
 
Nyinyi ndio MISHARI SHARI munatoka maporini kuja kuvunja TAMADUNI ZA WATU nyinyi mishari nasema tena
Ulishaona wakristo wakikataza watu wa Iman zingine wasile wakati wa mfungo wa kwaresma?
Dini Ni Imani ya mtu na Mungu wake sio kulazmsha kujionyesha kuwa umefnga dini gan ya kulazmshana? Kama Nina ugonjwa wangu ambao unahitaji Nile on time je?
Elimu ndogo ni janga ndio maana mmekaa kishar shar poor you
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we ndio umemaliza kila kitu
 
Ewe SHETANI MWEUSI hiyo ndio kiu yenu kutaka kunywa DAMU YA WAZANZIBAR INAYOMWAGIKA BARABARANI, Lon hamtolipata hilo tunashukuru Mungu Latina wanasiasa wenye upeo na wabobezi wa sheria pia tunao
Kama vile waengereza walivyokupeni tanganyika yenu bila kuingia barabarani nanyi mtaitapika MAMA ZANZIBAR bila ya sisi kuingia barabarani

SHETANI MWEUSI MTAISUBIR SANA DAMU YETU ILA HAMTOIPATA
Unataka kwa kupayuka payuka huku jf?
Jitokezeni barabarani mkadai hizo unazoziita haki.
Mchekee kichapo hadi mchakae.
 
Ulishaona wakristo wakikataza watu wa Iman zingine wasile wakati wa mfungo wa kwaresma?
Dini Ni Imani ya mtu na Mungu wake sio kulazmsha kujionyesha kuwa umefnga dini gan ya kulazmshana? Kama Nina ugonjwa wangu ambao unahitaji Nile on time je?
Elimu ndogo ni janga ndio maana mmekaa kishar shar poor you
Mpumbaffff rajea maandishi yangu hujalazimishwa kufunga Unachotakiwa kuheshimu wenyeji wako Wakristo Wazanzibar huwez wakuta wanakula hazarani ttz MITANGANYIKA HAMTAKI KUELEWA
Mibichwa kama MITOFALI
MJIHESHIMU BANAAAA
 
Hapo ndipo unapotakiwa kupima imani yako, unafunga halafu unashuhudia jirani yako anakula/kunywa, unatakiwa ujue hayo majaribu unakabiliana nayo vp?
Hawa Ni watu wa Shar Shar ati wanapigania dini uliona wapi dini inapiganiwa kwa bunduki?
 
Back
Top Bottom