Nimenunua simu mtandaoni ikatumwa kwa posta leo nimeipata

Ukituma container kwa njia ya posta inakuwaje ?
Mzigo unakuja kwa njia ya maji (meli), na baada ya mzigo kufika agent atawajibika kufuatilia na kufuata taratibu za bandari za kutoa mzigo.
Na je ni mzigo wa kiasi gani mwisho kutuma kwa njia ya posta ?
Kwa wafanya biashara walio wengi ni kwa mizigo chini ya kilo 2 (wengine hadi 5), ila ikizidi hapo wauzaji wengi hupenda kutumia njia ya DHL, FEDEX na zingine zifananazo na hizo
Tofauti ya Gharama vipi, kuagiza na kununua hapa ?
Kwa bidhaa zenye uzito mdogo, chini ya 2kg, ni vyema ukaagiza nje ya nchi utapata kwa ghalama nafuu zaidi ukilinganisha na hapa nchini

Ila kwa bidhaa zenye uzito mkubwa kama TV set, music system etl - Ni vyema ukanunua hapa nchini ghalama itakuwa ni nafuu zaidi.
hapa tunapangwa ipo siku utasikia tuma pesa nikuagizie.
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

Je kuna ubaya wowote kwa mleta mada iwapo atatoa huduma ya kuwaagizia watakao hitaji?
Tafakari
Kwahiyo mzigo ukitumwa kwa njia ya posta ni lazima ukija uingiywe kwenye vile visanduku ?
Hapana, kwenye kisanduku unakuta kikanratasi chenye taarifa za mzigo wako, unawakabidhi kikaratasi wahusika posta na wanakuletea mzigo wako baada ya kusaini unakabidhiwa.
Posta? hahaha hicho lazma walikiona kimeo, angiza mzingo wa milion 1 ucheck picha lake
Posta hii hii unayoifahamu, huwa napokea mzigo yenye thamani ya zaidi ya 1m na inafika salama.
Download app ya alibaba
App sahihi kwa retail ni ALIEXPRESS http://bit.ly/2QxjXNc
gharama za usafiri zikoje afu moshi ulienda lini
Ghalama za usafirishaji hutokana na shipping option utakayochagua wakati unafanya malipo. Zipo za kuanzia usd2.5 na kuendelea na za express huanzia usd33.
 
Mzigo unakuja kwa njia ya maji (meli), na baada ya mzigo kufika agent atawajibika kufuatilia na kufuata taratibu za bandari za kutoa mzigo.

Kwa wafanya biashara walio wengi ni kwa mizigo chini ya kilo 2 (wengine hadi 5), ila ikizidi hapo wauzaji wengi hupenda kutumia njia ya DHL, FEDEX na zingine zifananazo na hizo

Kwa bidhaa zenye uzito mdogo, chini ya 2kg, ni vyema ukaagiza nje ya nchi utapata kwa ghalama nafuu zaidi ukilinganisha na hapa nchini

Ila kwa bidhaa zenye uzito mkubwa kama TV set, music system etl - Ni vyema ukanunua hapa nchini ghalama itakuwa ni nafuu zaidi.

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

Je kuna ubaya wowote kwa mleta mada iwapo atatoa huduma ya kuwaagizia watakao hitaji?
Tafakari

Hapana, kwenye kisanduku unakuta kikanratasi chenye taarifa za mzigo wako, unawakabidhi kikaratasi wahusika posta na wanakuletea mzigo wako baada ya kusaini unakabidhiwa.

Posta hii hii unayoifahamu, huwa napokea mzigo yenye thamani ya zaidi ya 1m na inafika salama.

App sahihi kwa retail ni ALIEXPRESS http://bit.ly/2QxjXNc

Ghalama za usafirishaji hutokana na shipping option utakayochagua wakati unafanya malipo. Zipo za kuanzia usd2.5 na kuendelea na za express huanzia usd33.
Asante kwa ufafanuzi mujarabu maana nilikua nishatukanwa humu nikaitwa kishoka wa posta
 
Siku hizi posta mzigo wowote unatozwa kodi wanakupa assessment ukalipie kisha ndio unapewa mzigo. Zama za kutotozwa kodi zimeisha.
 
Siku hizi posta mzigo wowote unatozwa kodi wanakupa assessment ukalipie kisha ndio unapewa mzigo.
Inategemea na ufungaji wa mzigo husika na njia ya usafirishaji iliyotumika.
Asilimia 98 ya mizigo yangu haina tozo lolote.
 
Kweli ubinadamu kazi sana. Ni hivi sio lazima ucomment kila kitu. Wengine tunajifunza sana kwenye nyuzi kama hizi. Kuna watu wanaagiza bidhaa na kuziuza madukani na wamejifunzia humu.
Kwahiyo point yako ni nini sasa sijakuelewa.
 
Kweli ubinadamu kazi sana. Ni hivi sio lazima ucomment kila kitu. Wengine tunajifunza sana kwenye nyuzi kama hizi. Kuna watu wanaagiza bidhaa na kuziuza madukani na wamejifunzia humu.
Mimi pia nilijifunzia humu
 
Kweli ubinadamu kazi sana. Ni hivi sio lazima ucomment kila kitu. Wengine tunajifunza sana kwenye nyuzi kama hizi. Kuna watu wanaagiza bidhaa na kuziuza madukani na wamejifunzia humu.
Mzee humu hatuandikiani kama tunataka kufanya mtihani sikuelewa anataka kutuambia nini sasa kumuuliza nimefanya kosa?
 
Kweli ubinadamu kazi sana. Ni hivi sio lazima ucomment kila kitu. Wengine tunajifunza sana kwenye nyuzi kama hizi. Kuna watu wanaagiza bidhaa na kuziuza madukani na wamejifunzia humu.
Halafu mwenzio alijua kaandika lakini mwisho hakusema anataka tufanye nini na ndio maana aka edit na kutuambia tusiogope kununua vitu mtandaoni sasa we umekurupuka mojakwamoja na kuni attack. Be carefully
 
Hebu niambie, ww uliagiza kwa jumla kama mfanyabiashara au kwa pc kwa ajili ya matumizi yko?
 
Inabidi vile visanduku vivunjwe ili kujenga sanduku linaloingia kontena ndipo ukachukue.
mzigo hauwekwi kwenye box la posta bali unashikiliwa pindi uendapo kuuchukua ndo unajaza form flani then wanaweka kumbukumbu kuwa umechukua then unapatiwa mzigo wako
 
Nalitambua hilo ilikua ni utani kiongozi.
 
Posta? hahaha hicho lazma walikiona kimeo, angiza mzingo wa milion 1 ucheck picha lake
watuy wengi wanazani posta uhuni ni mwingi, mizigo unaweza track ukifika tz so posta wakiupiga utajua maana posta wakipokea unapata taarifa so ka ukipotea mikononi mwao unaweza tumia zime jumbe/email ka ushahidi mkuu
 
hapa tunapangwa ipo siku utasikia tuma pesa nikuagizie.
Online shopping ina hatari nyingi sana hasa pale post wamekula mizingo mingi sana japo nami nimewahi kutumia njia hiyo
usemalo ni kweli ila kwa nyakati hizi sidhani pi aunaweza track mzigo wako na ka waliupokea wao basi watakulipa wao
 
Back
Top Bottom