Nimenunua simu mtandaoni ikatumwa kwa posta leo nimeipata

Nimenunua simu mtandaoni ikatumwa kwa posta leo nimeipata

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,769
Habari wakuu niliagiza mzigo wangu wa simu tarehe 22/09 tarehe 23/09 ukatumwa kuja tanzania kutokea china.
Juzi nilihofia kupoteza nikaandika na uzi humu
Nilitumiwa kwa njia ya posta mzigo ukaingia bongo tarehe 26/09 baada ya hapo ukatumwa kuja mpaka moshi nilipo kwa sasa siku ya ijumaa leo nimeenda posta nikaupata

Nimeagiza zaidi ya mara 40 na cjawah kuibiwa

Niliagiza kupitia mtandao wa aliexpress

Sijatozwa kodi wala chochote sijalipa hata mia.

-2106156638-1554530665.jpg
IMG_20181003_130329.jpg
IMG_20181003_130620_604.jpg
-1602949476668206144.jpg
-694560816944509928.jpg
1935788948-807664998.jpg

MSIOGOPE KUNUNUA VITU MTANDAONI KUNA VITU VIZURI SANA HUKO EBAY,AMAZON,ALIEXPRESS NA ALIBABA

Huo ndo mrejesho wangu
 
Attachments

  • -21061566381364561689.jpg
    -21061566381364561689.jpg
    63.4 KB · Views: 156
  • -210615663850922209.jpg
    -210615663850922209.jpg
    84.7 KB · Views: 149
  • -21061566381630501433.jpg
    -21061566381630501433.jpg
    32.4 KB · Views: 151
Habari wakuu niliagiza mzigo wangu wa simu tarehe 22/09 tarehe 23/09 ukatumwa kuja tanzania kutokea china.
Juzi nilihofia kupoteza nikaandika na uzi humu
Nilitumiwa kwa njia ya posta mzigo ukaingia bongo tarehe 26/09 baada ya hapo ukatumwa kuja mpaka moshi nilipo kwa sasa siku ya ijumaa leo nimeenda posta nikaupata

Nimeagiza zaidi ya mara 40 na cjawah kuibiwa

Niliagiza kupitia mtandao wa aliexpress

Sijatozwa kodi wala chochote sijalipa hata mia.

View attachment 885457View attachment 885460View attachment 885461View attachment 885464View attachment 885465View attachment 885462
Umeagiza kwa bei/gharama sh. ngapi?
 
Mie nilishaagiza Mizigo mingine inafika Mingine Haifiki.. Nilishapoteza Saa ya 35 elfu
Hiyo saa bila shaka mdogo wako anaefanya kazi ya kupakua mizigo pale airport amepita nayo baada ya kuona jina lako kwenye mzigo na alishawahi kukuomba pesa ya mtaji kiasi kidogo ukamchomolea hahahahaha pole sana!! (its a joke)
 
Back
Top Bottom