Nimenunua LUKU sh 1000/-

Rihana ulikuwa hujawah nunua umeme kwa njia ya simu??!
 
Last edited by a moderator:
mh! 5000 unit 41? Meaning 8 units kwa buku moja!Hapana mkuu!Buku moja ni around 2.3 units!
Inawezekana matumizi yao hayavuki unit 55 kwa mwezi hivyo hawana makato makubwa na bei ya umeme kwa unit ni ndogo sana tofauti na sisi tunao tumia zaidi ya unit 55 kwa mwezi.
 
Usiwe mbishi wakati haujajaribu,mie niliambiwa kwamba kwa mtu mwenye matumizi ya chini ya units 50 anapunguziwa makato nikabisha,nikaandika barua Tanesco sasa ni kujiachia tu,wewe kama luku yako imewekwa kundi la watu wenye wanatumia units 100 kuendelea,pole
Watu wengine kujifanya wajuaji khaaaa 5000 units 41 Tanesco una hisa? 4,000 unit 10.7, 5000 unit 13.6 kwahyo umeme wa 1000 ni unit 2 na point kadhaa hata kama unakaa ntwara au lindi elfu 5 hauwezipata 41units.
 
Kwa sasa ukiwa na matumizi chini ya unit 70 unaondolewa kwenye cost za service line za kila mwezi.
 
nunua kwenye simu, kwanza kima cha chini ni sh elf 1000 huwezi nunua umeme wa mia tatu ni uongo!!! nimeshaeleza jaribu uone!

Samahani hii itakuwa typing error, nilikusudia kuandika sh 500, amacho ndicho kiwango cha chini kabisa cha kununulia umeme.

Back to topic: Mkuu, arguement yangu ilikuwa ni kukanusha hiyo logic yako kwamba ukinunua umeme kwa pesa kidogo kidogo eti kwamba unapata umeme mwingi. Huo ni uongo--bei ya umeme per unit/tariff iko fixed--hata ununue kidogo au sana, at the end of the day, uki-sum up utapata jawabu moja. Umeelewa eeh?
 

...kupata ulizopata yawezekana
....soltn unayoitoa si sahihi, makato yapo pale pale
....ww umefanikiwa cz ulishakatwa service charge za mwez
...i. Happened to do so but kwakuwa sikukatwa niliambiwa ongeza hela
...nlivyoongeza nkapata. 1
 
eti 5000 unit 41 thubutuuu.nanunua umeme wa 9000 napata unit 30.na elf 20 napata unit 53 we wa 5000 unautoa wapi
 

mi nimenunua umeme wa 20elfu nikapata unit 52 iweje 7000 unit 53 hv huwa mnanunua umeme au?
 
nisawa kama meter yako imesetiwa kwenye tarrif 4 mi nilienda kwa manager nikabadilishiwa tarrif sasa hivi nanunua Umeme unit moja 100 bila vat halafu hakuna service charge kwa mwezi kwenye tarrif 1
Lakini hiyo tarrif uliyopo si ndiyo hiyo tunayoelezwa kuwa mteja hapaswi kutumia zaidi ya unuti 50 kwa mwezi?
 
Unafanyaje ili usilipishwe service charge?
 
Tzs 5000=14 Units.
 

Ina maana kwenye umeme wa 50K napoteza unit 50 kama nikinunua kwa jumla?????? Duuh
 
Unashangaa wa buku?
Mpaka wa 100 upo. Km una line ya vodacom jaribu ujionee maajabu
 
Kuna kitu kinaitwa TARRIF. Tarrif tofauti bei tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…