hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:b ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!
mkuu mbona Mimi nikinunua wa 5000 napata unit 41? Ila kweli ukinunua mwingi wanakupunja, niknunua was 10000 napata 47
mkuu mbona Mimi nikinunua wa 5000 napata unit 41? Ila kweli ukinunua mwingi wanakupunja, niknunua was 10000 napata 47
mkuu mbona Mimi nikinunua wa 5000 napata unit 41? Ila kweli ukinunua mwingi wanakupunja, niknunua was 10000 napata 47
Mmh.... shilingi 5000 kwa uniti 41? Hapana, kwa bei ya umeme ya sasa ilivyopaa, hilo haliwezekani.mkuu mbona Mimi nikinunua wa 5000 napata unit 41? Ila kweli ukinunua mwingi wanakupunja, niknunua was 10000 napata 47
Hakuna bei hiyo, labda hiyo itakuwa ni bei ya wanaokuwa subsidized, ambao wapo kunapopita bomba la gesi huko Mtwara, baada ya serikali kunywea, baada ya wananchi wa maeneo hayo kupiga mkwara mzito, kuwa hawako tayari gesi hiyo itoke hata kwenye bomba la kalamu!mkuu mbona Mimi nikinunua wa 5000 napata unit 41? Ila kweli ukinunua mwingi wanakupunja, niknunua was 10000 napata 47
mkuu mbona Mimi nikinunua wa 5000 napata unit 41? Ila kweli ukinunua mwingi wanakupunja, niknunua was 10000 napata 47
5000 unit 41 ni sahihi kabla ya kupanda ilkuwa unit 53 Asa ivi mpaka 7000 ndo unapata 53! ni sahihi kbs kwan ata mie natumia ivo ivo msiwe wabish wadau ktk hili. Kuna madaraja matatu ya matumizi ya luku sie tunatumia daraja la 3 ambalo lazma uandikie barua tanesco kwa hiyo sio mtwara ni mahala popote
Mmh.... shilingi 5000 kwa uniti 41? Hapana, kwa bei ya umeme ya sasa ilivyopaa, hilo haliwezekani.
Mimi mwenyewe, leo hii nimenunua umeme kwa njia ya simu, nimenunua umeme wa shilingi 8,000 nimeambulia uniti 21 tu!
Wakuu nawashukuru kwa michango yenu kumbe sekta ya nishati inagusa watu wengi, kuna mtu aliniuliza unit 1 ninawasha nini, kwa taarifa yake unit moja ninawasha taa, natumia compyuta, TV ila friji usithubutu kuwasha unless uwe unataka kulala giza!!!Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!
mkuu mbona Mimi nikinunua wa 5000 napata unit 41? Ila kweli ukinunua mwingi wanakupunja, niknunua was 10000 napata 47
Umeme wa buku unawasha nini?
Hata mimi nilitaka kuwaeleza jamaa hivyo, hilo swala linawezekana kwani mm nipo Tarime, na nikilipa shilingi 10,000 huwa napata units 88, na hii ni kwa sababu niliandika barua tanesco kuomba kubadilishiwa tarrif kwani mimi matumizi yangu ya umeme ni chini ya units 50 kwa mwezi. Hivyo jikague mwenyewe kwanza na uangalie kama matumizi yako ni kama nilivyokuelekeza.