Nimenunua laptop Amazon.com

Nimenunua laptop Amazon.com

Laptop 6kg mkuu? Inafaa kupakata kweli? Kg 6 uzito wake ni sawa mtu amekupa furushi castle milk kubwa 12 au safari ndogo 16!
😀Gaming Laptop na maboxi mengi sana wanaweka isiumie.
 
AliExpress wanapokea kadi za kawaid, payment ni through aliexpress wenyewe so iko salama hakuna muuzaji anayepata details zako.

Nununua kupitia site only usideal na mtu kwenye email.

Angalia idadi ya orders na reviews AliExpress utamjua muuzaji mzuri, sijawahi kupata shida, nimeagiza vitu zaidi ya mara 20 now kuanzia camera, laptop hadi soksi!

Usiende alibaba ukiwa logged in Aliexpress au alibaba otherwise wanapata email yako, fungua incognito tab au private tab kabla ya kwenda. Ali Express hawatumi email na muuzaji hapati email yako, mawasiliano ni through AliExpress only.
Mkuu naomba ufafanuzi wa paragraph ya mwisho.
Jinsi ya kufungua incognito au private ni vipi?
 
Laptop 6kg mkuu? Inafaa kupakata kweli? Kg 6 uzito wake ni sawa mtu amekupa furushi castle milk kubwa 12 au safari ndogo 16!

Hahaha wapiga maji utawajua tu, but sincerely I like that umefanya uelewaji uwe simpo
 
Iyo computer ina specification gani na umetumia sh ngap total cost
 
Hii thread ni most useful one Ngoja niibookmak faster isijenipotea. Ila mtoa mada nitahitaji mentorship yako mpaka nije kuwa monster wa kuagiza vitu nje mkuu!
Cc: kang
 
Kapigwa huyu, wanao nunua bidhaa wote online huwa wanakuja hapa wakiwa na taarifa toshelezi, atasema ni bidhaa gani aliipenda, bei ya bidhaa, ghalama kusafirisha hiyo bidhaa kwenda huko kwa sub wakala wake, ghalama za kuja TZ na mwisho atatuambia mpaka kapata ni ghalama kiasi gani kaingia, pia hatoacha kutuambia ubora wa hiyo bidhaa ambayo hakupata nafasi ya kuu_ascertain je kwa maoni yake anatuambia nini ukilinganisha ghalama za kununua mbele na TZ huku ukizingatia UBORA NA BEI,

Sasa mchizi anajiuma uma tu
 
AliExpress wanapokea kadi za kawaid, payment ni through aliexpress wenyewe so iko salama hakuna muuzaji anayepata details zako.

Nununua kupitia site only usideal na mtu kwenye email.

Angalia idadi ya orders na reviews AliExpress utamjua muuzaji mzuri, sijawahi kupata shida, nimeagiza vitu zaidi ya mara 20 now kuanzia camera, laptop hadi soksi!

Usiende alibaba ukiwa logged in Aliexpress au alibaba otherwise wanapata email yako, fungua incognito tab au private tab kabla ya kwenda. Ali Express hawatumi email na muuzaji hapati email yako, mawasiliano ni through AliExpress only.

niuzie laptop ulioagiza aliexpress mkuu
we si unayo mpya hiyo
 
niuzie laptop ulioagiza aliexpress mkuu
we si unayo mpya hiyo
Ya Aliexpress ndogo portable sana inasaidia kwenye kusafiri, mpya Gaming Laptop nzito kiaina naiacha home nikisafiri.
 
AliExpress wanapokea kadi za kawaid, payment ni through aliexpress wenyewe so iko salama hakuna muuzaji anayepata details zako.

Nununua kupitia site only usideal na mtu kwenye email.

Angalia idadi ya orders na reviews AliExpress utamjua muuzaji mzuri, sijawahi kupata shida, nimeagiza vitu zaidi ya mara 20 now kuanzia camera, laptop hadi soksi!

Usiende alibaba ukiwa logged in Aliexpress au alibaba otherwise wanapata email yako, fungua incognito tab au private tab kabla ya kwenda. Ali Express hawatumi email na muuzaji hapati email yako, mawasiliano ni through AliExpress only.
Imekaa vizuri.
 
hawezi kujibu gharama kaingia kiasi gani

computer yenyewe jina tu kaificha utadhani inaenda kutumiwa na kamati ya mazungumzo ya makinikia... Si ajabu kwenye gharama kapigwa.
Ha ha ha ha... Wabongo bana.Hivi tatizo ni nini, chuki au nini?Mtu kaleta uzi na ameclarify vitu vingi sana.Nafikiri vingine havikuwa na ulazima sana.
 
mimi na aliexpress siandiki ngooo yaani nimepazoea mpaka rahaaa
 
AliExpress wako vizuri ila hawana vitu vya brandname kama HP, Acer, Sony etc.
 
AliExpress wako vizuri ila hawana vitu vya brandname kama HP, Acer, Sony etc.

Usiende alibaba ukiwa logged in Aliexpress au alibaba otherwise wanapata email yako, fungua incognito tab au private tab kabla ya kwenda. Ali Express hawatumi email na muuzaji hapati email yako, mawasiliano ni through AliExpress only.
Mkuu naomba unifafanulie hapo jinsi ya kufungua incognito tab.
 
Mtoa mada maelezo mengi ila points huna
Inahitjika
1.specification zote za laptop ulionunua ulionunua
2.jumla ya gharama ulizotumia mpaka unapata iyo laptop
Ivi ndo vitu watu wanavyo vihitaji kwenye maelezo yako ,then maelezo mengine yafuate.
Ili iweje? Chagua laptop unayotaka kutokana na mahitaji yako apply hizo percentage utapata gharama kamili, mengine ni umbea!
 
Back
Top Bottom