Nimenunua laptop Amazon.com

Nimenunua laptop Amazon.com

TUPE JUMLA YA GHARAMA ZOTE ILIZOTUMIA..KUANZIA KUNUNUA, KUSAFIRISHA, VAT HADI KUGIKA MKONONI MWAKO
 
Ndio maama watu hawataki kutoa elimu humu. Mnamshambulia mleta mada kwamba anadanganya bila sababu.

Freight forwarder nnayemtumia mimi ni MyUS. Nimeshaagiza electronics mara kadhaa from US (Amazon) na hata sasa nina package yangu ipo customs JKIA inasubiri clearance.

Huwa natumia DHL kwasababu wanamtumia clearing agent wao wa ndani kwahiyo clearance cost ni ndogo. Ukitumia FedEx utakumbwa na charges kibao za ajabu ajabu sjui Swissport, Document release charge na bado utawajibika kumlipa clearing agent.
 
TUPE JUMLA YA GHARAMA ZOTE ILIZOTUMIA..KUANZIA KUNUNUA, KUSAFIRISHA, VAT HADI KUGIKA MKONONI MWAKO
Zinakuhusu nini?
Mada si gharama alizotumia, bali alikuwa anashare njia unayoweza kutumia kuagiza items kutoka amazon.
 
Zinakuhusu nini?
Mada si gharama alizotumia, bali alikuwa anashare njia unayoweza kutumia kuagiza items kutoka amazon.
Wewe ni kilaza kabisa hujui tunataka kulinganisha bei za huko na huki??!! Eti zinahusu nini..kuna haja gani kuagiza mzigo nje kama gharama ni zile zile kama hapa bongo..
 
Brother Kang can you disclose the laptop you bought? What was it (not just "Dell" but specific model). Thanks
 
Huyu nae atakuwa ameskia stori tu na akatuletea hapa..weka mambo wazi watu wakuelewe
 
Back
Top Bottom