KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
Mkuu kaa chini piga moyo konde mara4 hapo kilichokuponza kuwa na gari ukajifanya kama unamiliki kiwanda cha magari ukamuweka nyuma mashauzi full ukaongeza marafiki wenye magari akikwambia kitu umsikilizi ukiwa naye utaki kwenda kwa marafiki zako wapya akikuuliza nilikuwa na marafiki yeye ukamfanya mama wanyumbani kila akikwambia hii tabia wewe umsikilizi haya ndo yaukweli ila usidhani mimi ndiye nimempeperusha au kaniambia wewe kumbuka kabla yakuwa na gari na sasahivi unagari kunayofauti gani! Kosa ni wewe na marafiki zako nasiyo gari! kwaheri