afrique
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 509
- 136
Mhhh MU vs UDSM,after mwaka garii,mbona kama nakujua wewee...
Muulize vizuri mtoto,kuna jambo sio bure,and maybe she loved the 'poor you' ,si ajabu unajishau saiv,mana wanaume na hela..tunakomaga mbona
inawezekana kabisa, mi rafiki yangu alianza na mpnz wake akiwa hajui hata kuvaa na kazi hana, Sa hv mwanaume kapata pesa full mashauz,dawa ya meno tu colgate anaona ya kishamba. Hivi kweli mtu kama huyo wa nini???