Nimenunua gari kaniacha

Nimenunua gari kaniacha

Speed

Member
Joined
Sep 24, 2008
Posts
34
Reaction score
14
Tulipendana sana, akiwa UDSM na mimi MU na bado tulitembeleana bila kuchoka. Alibahatika kwenda nje ya nchi (a week school trip), aliniletea suit pamoja na ukubwa wake niliivaa. Mara ya kwanza kuvaa suit kanivalisha yeye.
Tulimaliza shule, nyumbani alifahamika na akazoeleka. Alipata tempo steers mimi nikiwa sina kazi. Daladala tulipanda wote, bajaji tulipanda wote na hata kuswampa tuliswampa wote.
Nilipata kazi nzuri kabla yake ila later on na yeye alipata. Maisha yalibadilika yakawa more improved na penzi pia lilinoga.
A year later nikanunua gari, wiki moja baada ya kununua gari akanitumia msg 'eti tubaki marafiki'.
I didn't take it serious ila muda ulivyozidi kwenda ndivyo alivyomaanisha.
Baada ya kubembeleza sana bila mafanikio hatimae tukaachana kabisa.
Nimechunguza kwa kiasi fulani hana mwanaume mwingine....
Tatizo ni hili gari (corolla)au kuna kingine?
 
Mmh,apo kweli utata! Kweli ni ununuzi wa gari tuu!! Ebu endlea kuchunguza vizuri
 
Hahaha! Wacha nicheke kwanza! Haya sasa wanaume mnaosema UKIWA NA GARI Unapata warembo wa mujini KIKOAAAAAAAPIII!!! Shuutu!! Mwanaume mgegedo asikwambie mtu! Pyeeeeeeee! Weee mhudumu nileteee nyingine....!! Hii wikend itaniua wallah ingefupishwa!!
 
Ungenunua vogue maana anaona corolla haifai
 
Hahaha! Wacha nicheke kwanza! Haya sasa wanaume mnaosema UKIWA NA GARI Unapata warembo wa mujini KIKOAAAAAAAPIII!!! Shuutu!! Mwanaume mgegedo asikwambie mtu! Pyeeeeeeee! Weee mhudumu nileteee nyingine....!! Hii wikend itaniua wallah ingefupishwa!!

kwakweli wewe munkari!
 
Kaona utazeekea kwenye small engines! lol! badala hata ujikamue rava foo unatia aibu. nyumba huna una kicorolla.
 
Inawezekana amepata mtu mwingine na anafanya siri , au akawa hajapata mtu ila amekuchoka na pengine haumridhishi kimapenzi, sisi wanawake tunapenda magari, ila sometimes gari sio kila kitu kwenye mapenzi. pole lakini, jipange upya utapata mtu mwingine, usimng'ang'anie atakuja kukuumiza zaidi huko mbele ya safari.
 
Kaona utazeekea kwenye small engines! lol! badala hata ujikamue rava foo unatia aibu. nyumba huna una kicorolla.

Mwaka tu nina corolla hauoni kama ni dalili nzuri!! Kweli nikikaa miaka mitatu na zaidi I won't go for rav4 nafikiri zaidi ya Rav4.
 
angalia usije ukalichoma bana!!

*she used to the sweetest girl ever!! if you the rain, she is gonna be under the weather ever!

mwimbie huu wimbo wa sweetest girl labda atabadili ip address ya kichwa chake!

huu ukinoki, mtwangie ngoma ya sean paul, gimme the light... atacheza tu!!!
 
Hahaha! Wacha nicheke kwanza! Haya sasa wanaume mnaosema UKIWA NA GARI Unapata warembo wa mujini KIKOAAAAAAAPIII!!! Shuutu!! Mwanaume mgegedo asikwambie mtu! Pyeeeeeeee! Weee mhudumu nileteee nyingine....!! Hii wikend itaniua wallah ingefupishwa!!

hivi corola bado zinaruhusiwa kuingia nchini??
 
umenikumbusha enzi za i love you then i hate then i love you!!!

Last edited by a moderator:
Mwaka tu nina corolla hauoni kama ni dalili nzuri!! Kweli nikikaa miaka mitatu na zaidi I won't go for rav4 nafikiri zaidi ya Rav4.

Mpango wa nyumba je?au tayari unayo??labda ameona unafikiria luxurious life kuliko kujijenga kwanza.....ni mtazamo tu
 
Mhhh MU vs UDSM,after mwaka garii,mbona kama nakujua wewee...
Muulize vizuri mtoto,kuna jambo sio bure,and maybe she loved the 'poor you' ,si ajabu unajishau saiv,mana wanaume na hela..tunakomaga mbona
 
angalia usije ukalichoma bana!!

*she used to the sweetest girl ever!! if you the rain, she is gonna be under the weather ever!

mwimbie huu wimbo wa sweetest girl labda atabadili ip address ya kichwa chake!

huu ukinoki, mtwangie ngoma ya sean paul, gimme the light... atacheza tu!!!

hahahha,gimme the light,had nauimba on my mind saiv....mzima weyeee....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom