Nimenunua gari kaniacha

Nimenunua gari kaniacha

Hahaha! Wacha nicheke kwanza! Haya sasa wanaume mnaosema UKIWA NA GARI Unapata warembo wa mujini KIKOAAAAAAAPIII!!! Shuutu!! Mwanaume mgegedo asikwambie mtu! Pyeeeeeeee! Weee mhudumu nileteee nyingine....!! Hii wikend itaniua wallah ingefupishwa!!

WANAUME WOTE COME ZIS WAE MSOME HAPO JUU...gari bongo!!..?
 
Wewe kijana hebu liangalie hili suala kwa mtizamo mpana kidogo. Umesema mmekuwa wote tokea shule mpaka mnaanza maisha. Sasa ni kwa nini hakuache eti kwa kuwa umenunua gari? Yeyote angetarajia afurahi kwamba angalau sasa mna usafiri lakini imekuwa kinyume. Kwa mtizamo wangu inawezekana hakufurahi kwa kuwa haukumshirikisha katika hiyo mipango au angalau hukuwahi kumdokezea juu ya mipango ya kununua gari. Yeye amekuwa anajiona kama ni sehemu yako na unapoamua kufanya kitu kikubwa kama hicho bila kumshirikisha, anaona haumthamini.

Je ulimshirikisha kanla ya kununua hilo gari?

Tiba
 
hahahha,gimme the light,had nauimba on my mind saiv....mzima weyeee....

mi mzima badiebey..!! you are too quiet nowadays!!

by the way, unaweza ongeza sweetest girl kwenye playlist!

ni mzuri pia!
 
Last edited by a moderator:
Heehehehehe

Tatizo wanaume mnadanganyana

Ukiwa na gari unawang'oa tu.... Kikowapi sasa

Ila jichunguze vizuri

sasa hapa ameng'oa au anaendeleza upendo kwa mpenzi wake?

kung'oa means awe kicheche, kila chupi isimpite, agonge gonge tu hata visivyo kwenye playlist!

kijana analilia njiwa wake aliyepeperuka bana, hajasema kwamba wanakataa kung'oka!!

got what iam saying??
 
Suti na corolla wapi na wapi?umelidhalilisha vazi lake.
 
Wewe kijana hebu liangalie hili suala kwa mtizamo mpana kidogo. Umesema mmekuwa wote tokea shule mpaka mnaanza maisha. Sasa ni kwa nini hakuache eti kwa kuwa umenunua gari? Yeyote angetarajia afurahi kwamba angalau sasa mna usafiri lakini imekuwa kinyume. Kwa mtizamo wangu inawezekana hakufurahi kwa kuwa haukumshirikisha katika hiyo mipango au angalau hukuwahi kumdokezea juu ya mipango ya kununua gari. Yeye amekuwa anajiona kama ni sehemu yako na unapoamua kufanya kitu kikubwa kama hicho bila kumshirikisha, anaona haumthamini.

Je ulimshirikisha kanla ya kununua hilo gari?

Tiba

Point Tiba.
Sikumshirikisha kabisa but i thought itakuwa surprise nzuri ambayo hata yeye angefurahi. Na kweli nilipomuonyesha alionyesha furaha sana na akashangaa ila ndo hivyo baada ya siku mbili tatu ndo akanitwanga na msg.
 
I bought my whole family whips, no Volvos,What you think I hustle for
To push a ----ing Rav 4? Only good gon' come is as good when I'm
cumming. #Run_dis_town
 
Mpango wa nyumba je?au tayari unayo??labda ameona unafikiria luxurious life kuliko kujijenga kwanza.....ni mtazamo tu

A good matured girl sidhani kama angenikimbia kwa huo uamuzi wa kukimbilia luxurious lazima angeniweka chini tudiscuss na pia kwa dsm gari ni basic need. Ningekuwa -------- kama ningekimbilia gari ya gharama but i went for cheap and budget one ambayo haiwezi niharibia mipango yangu ya baadae kama kununua kiwanja na kujenga.
 
Point Tiba.
Sikumshirikisha kabisa but i thought itakuwa surprise nzuri ambayo hata yeye angefurahi. Na kweli nilipomuonyesha alionyesha furaha sana na akashangaa ila ndo hivyo baada ya siku mbili tatu ndo akanitwanga na msg.

Suprise kwa kununua Toyo? Corolla haina tofauti na bajaji,yani ameona una mawazo finyu yani bado unamawazo ya kununua magari ya 80's?
 
sisi wanawake tunapenda magari, ila sometimes gari sio kila kitu kwenye mapenzi[/COLOR]. .

Masanja-Mkandamizaji-July-11-7.png
 
mie nahisi kuna visababu vingne zaidi ya garii!ebu jikague vzuri!!eh
 
Mbembeleze mkuu muite face to face ongea naye,hapo issue sio gari nahisi hujamshirikisha katika maamuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom