Naona waliamua kufanya kimya kimya halafu pozi walilokuwa niliweza kumuona mama mwenye nyumba vilivyo
Polee wewe kuwa na amani,na ukirudi nyumbani kawatake radhi uwaambie halikuwa kusudio lako ni bahati mbaya,hata ukimwambia mama pekee itatosha....wakikataa na kuendeleza bifu watakuwa na yao na walikuwa wanakutafutia sababu tu.
Jamani mimi mwenzenu nimepatwa na maswahibu muda si mrefu, kama mnavyojua hizi nyumba za kupanga lazima bafu la kuogea ni la kuchangia. Sasa nimeamka zangu naenda kuoga bahati mbaya au nzuri sijui niseme hivyo mlango wa bafu ulikuwa haujafungwa sasa mbio mbio nafungua na wakuta mama mwenye nyumba na mme wake wanafanya mapenzi au ngono. Sasa nimenuniwa na wananiwekea kikao wanipe notice nihame ila aliye ghadhabika sana ni mme wake. Hayo ndo yamenikuta hata kazi nafanya kwa tabu
Pole sana mkuu, hataivyo sln ni kuhama tu hapo, coz ukisema ung'ang'anizie hapo atakuwa na aman na uhuru tena, ukiwaona tu espcl uyo maza house unajish2kia. tafuta makizi mapya hapo tena pashatibuka.
Pole kwa mkasa, ongea na huyo baba mwenye nyumba jaribu kumwelewesha kuwa hukufanya makusudi... Labda unavyokaa kimya anajua uliingia kwa makusudi atakuelewa tu!
Ujue hataki kukuangalia kwa sababu ya aibu na sio vinginevyo, wewe jifanye kauzu zaidi ya dagaa, mvae hivyo hivyo manake kiukweli huna kosa, akuangalie asikuangalie atajiju na aibu zake....Ahsante Sweetlady ila tatizo hataki hata kuniangalia usoni nashindwa nimuanze vipi
Mama mwenye nyumba amenuna umekosesha bao ukizingatia ndo alikuwa anakaribia kukojoa
Ahsante Sweetlady ila tatizo hataki hata kuniangalia usoni nashindwa nimuanze vipi