Hivi mimi nikijitambulisha kwamba ndiye mzabzab wa jamii Forum nitafanikiwa kuwaopoa vimwana eh....?
Hii maneno yangu mbofumbofu wasijesoma wanangu kina Asnam, MwanajamiiOne na Husninyo...........
Kweli LIKUD alifanya wise choice. MziziMkavu anauzaaaaaaaa!!!mwache agegede tu maana kuna majina mengine humu km hilo la MziziMkavu hajawahi tukana hata post moja yeye ni kutuletea habari popote akutanapo nazo na sio za maudhi na nadra sana kwa BAN
Du kuna majina mengine humu ni matapishi mfano ID za wafuatao:-
Mkuu Sigma Waache vijana wajifurahishe kutongoza kazi sio kitu rahisi itabidi utumie kila mbinu ili uweze kumpata huyo unaye mtongoza. Na hakuna shule duniani ya kutongoza ujanja wako tu mwenyewe.mna utani nyie na MziziMkavu.
Subiri aje usiku na posti zake toka European Union
Hivi mimi nikijitambulisha kwamba ndiye mzabzab wa jamii Forum nitafanikiwa kuwaopoa vimwana eh....?
Hii maneno yangu mbofumbofu wasijesoma wanangu kina Asnam, MwanajamiiOne na Husninyo...........
unaweza kukuta MziziMkavu mwenyewe ana miezi hajapata k lol
akisoma hapa sijui atajisikiaje lol
sa ivi watakuwa wamelala mkuu
i am very smile ehehee
"Mfano, jumamosi iliyo pita mimi na team yangu tukiwa kwenye kichali kimoja cha burudani, tulibahatika kukutana na totoz za ukweli,sasa wakati tunapiga stori, likaja suala la madawa ya asili ( sio ya kichawi lakini, haya ya design ya ndodi)... Mtu mzima, nikaanza kufunguka hapo, basi mrembo mmoja akawa so interested na namna nilivyokuwa naelezea masuala ya herbs kwa ufanisi, she said " We kaka unajua haya mambo kama mkaka mmoja wa Jamii Forums, anaitwa Mzizimkavu". Nikamwambia " I am the very Mzizimkavu" . Stori zikaanzia hapo, hadi sasa mtoto mzuri kisha nipa papuchi tayari. Najua atasoma hapa na atanielewa but am sure hawezi kunimind coz amesha data na mimi tayari. Sana sana atasema " Hili nalo"! Ila dah! nalikuwa sijui kama Mzizimkavu anaheshimika hivi, coz mrembo ninaye mzungumzia hapa, si mrembo wa polepole!"
I'd love someone to say, "Unaongea vizuri kama Mentor" na mimi nimjibu, "...but do I say!"
ukiwa unamaanisha nn? maana kama ndo ungekutana na mimi ningekuwa sijakuelewa unachomaanisha na hapo utawachwa kwenye mataa badala ya kuwin kama LIKUD using MziziMkavu.
Ila ukiwaambia wewe unaytembea kama daladala za mwananyamala watakuganda maana waschana wanapenda mwanaume wa suluba sio laini laini looh
Hicho kizungu muulize Kiranga atakuelezea maana!
My dear...mwanaume pesa aisee kuwa umezipata kwa suluba au aje you ladies don't really care aisee!!!! #experience