hivi kumbe MziziMkavu ni MWANAUME!
Hahahahah Mkuu.@The Boss mimi nipo siku zote niko kama Computer Robot vipi mzima lakini Mkuu The Boss?unaweza kukuta MziziMkavu mwenyewe ana miezi hajapata k lol
akisoma hapa sijui atajisikiaje lol
Mkuu BAK waache wafaidi kwa kutumia jina langu sikataiWhere are you MziziMkavu? Watu wanafaidi utamu kwa kutumia jina
lako, njoo huku ujionee lol!!!
Mkuu Billie Mwache huyu kijana.@LIKUDHii thread kwa baadhi ya vichaa watahisi ni ya matani kwa MziziMkavu lakini ina bonge la
ujumbe juu ya maisha ya wabongo wengi ambao wanadesturi ya kuishi kimazoea ya kila
siku.KUJUA MENGI NI KINGA
HASWA KWA MAISHA HAYA YA SIKU HIZI.
hivi kumbe MziziMkavu ni MWANAUME!
Kuna demu hapa kitaa mkali sana. Na huwa tunapiga stori jf;
Namvutia pumzi nimwambie kuwa mie ndie mtambuz
Tobaaa! Kumbe ni wewe!!? Yani umenila hivi hivi afu unajigamba hadharani?
MziziMkavu dili hilo kama vp nipe ID yako niitumie
mwache agegede tu maana kuna majina mengine humu km hilo la MziziMkavu hajawahi tukana hata post moja yeye ni kutuletea habari popote akutanapo nazo na sio za maudhi na nadra sana kwa BANKesi ya kwanza: kudanganya kuwa mwenye jina Mzizimkavu...
Ya pili: Kutumia ujuzi wa Mzizimkavu bila acknowledgment ya mchango wake!
Sijui kama una wakili (hapa karate/kung fu haisaidii); kama unahitaji Bushlawyer ni PM🙂
Tobaaa! Kumbe ni wewe!!? Yani umenila hivi hivi afu unajigamba hadharani?