Nimenasa!

Nimenasa!

Wasalaaam....
Baada ya mihangaiko yangu ya uku na kule nimenasa kwenye mtego ambapo kwa kwel nahtaj mawazo tofaut na yangu nijinasue.....

Najua kuna ambao watasema oooh ulijifanya mjanja u-play boy sasa cjui nn...i beg them to spare those shits kwa kwel.....by the way nataka nizeeke na full experience...

Nimetembea na dada ambae tunepanga nyumba moja...tena vyumba milango inaangaliana (walah niliapa kutokufanya ivo ila nilizidiwa ujanja)

Basi ck iyo aliniita tupige stori kwake...sa 3...mara 4..5..6..wkt nataka kurud kwangu nkapumzike akashaur tulale ote tu haina shida..baada ya apo u take a gues....

Uyu dada sina malengo nae it was jst a crush!!!...kibaya dada wa watu kanielewa ile mbaya..anataka kila ck tulale ote km sio kwake bas kwangu.....

To make it short nataka niachane nae for gud...ingawa najua kwake n ngum na hataman kusikia ivo...na nimefanya ujinga coz nimekua kama nimeji-block coz cwez tena kuja na msichana akijua anaweza kuingia na mlango..tehe....

Vitendo vinaongea zaidi kuliko maneno. Siku asiyotarajia akute umeishahamia sehemu nyingine ambayo haitakuwa rahisi ku trace. Lakini huo utakuwa ukatili wa aina yake. Hujesema kama ni wife material. Kama kwako kafika bei, oa kabisa.
Una options hizo mbili tu.
 
Ujana maji ya moto... Mwambie kama yupo tayari muwe sex partiners awe na boy wake na wewe girl wako na kama ukileta girl wako hapo anatakiwa awe mdogo na asimind ... Hiyo inawezekana na itakuwa nzuri sana... Ila usisahau kutumia condom na kujitahidi kuacha uzinzi..

Kulala wote daily unafikiri pipi italiwa na ganda lake? Haiwezekani huyo ni kama mke
 
Kaizer na Asprin hawa vijana wanaitaji kufundwa aisee...wewe hukuwahi kufundishwa kuwa "Usile kuku wa jirani"!?????

HATA kibaka anakushinda yani...kamwe haibi kwao!
 
Last edited by a moderator:
kwani wakati mnaanza mlikubaliana chochote? maana naona mlipiga story mkagegedana, na kabla yake wewe huna mtu maalumu? maana inaonekana unatumia kifanyio chako kwa kila mtu.
 
Mm nilikija nakimbia najua umenasa ukimwi kama ni gal nikasema itakuwa mimba

Wewe hama nyumba tuu

Haha...ukimwi hapana kwa kwel...maana hua navaa double
 
Yaan uhame nyumba kisa mwanamke humtaki..!muhimu ushajitambua kuwa humuhitaji inatosha..we ingiza mademu zako kama kawa, akiwaona atajiongeza mwenyewe.

Hahaha...kwa namna nnavyomuona uyu anaweza kuzua timbwil nikakosa wa kuamua
 
Sidhani kama ni tatizo kama blue hiyo ipo pouwaz. Me pia kuna kipindi (Enzi za ujana maji ya moto) nilikuwa nashare nyumba na mdada mmoja hivi wa haja, ila nilikuwa kila siku naingiza wadada tofauti na alikuwa anaona, ila cha ajabu na yeye akajilengesha, bila hiyana nikapita na nikawa namega mara moja moja, meanwhile nikaendelea kuleta wadada wengine mle ndani na akawa anawachekea tu na kuwaita wifi akipishana nao. Cha msingi you've already activated ##JUMP IN AT YOUR OWN LIST## hashtag.

Hahhaha...u made my day buddy!!!
 
Vitendo vinaongea zaidi kuliko maneno. Siku asiyotarajia akute umeishahamia sehemu nyingine ambayo haitakuwa rahisi ku trace. Lakini huo utakuwa ukatili wa aina yake. Hujesema kama ni wife material. Kama kwako kafika bei, oa kabisa.
Una options hizo mbili tu.

Ofcoz she z cul ila hawe kua mke wang....wazo la kuhama bado linaonekana bora
 
Si umepanga? Hama nyumba,au kodi anakulipia yeye?
Mie simuelewi mwanaume anayedai yuko kwenye mahusiano asiyoyataka,kweli huwezi kumuacha bint usiyemtaka!!
Kuna mabinti wengine wanajua kunasa waume sana,ukifikiria kumuacha tu ashaongeza maufundi tayari hapo kwa 6*6 So inakuwa ngumu sana kujinasua.
 
Back
Top Bottom