Nikilegea utanikaza? Ulegee wewe na viungo vyako from today...naam vikakose nguvu kabisa...hata pale utakapotaka kugegeda vikakuaibishe..maana hata wewe wajua kuwa michepuko sio dili...ni ktk jina la njia kuu naomba na kushukuru...Amen
Ukiona umeshidwa kusema fanya kuhama kimya kimya kuepusha mengi,ila kama ulikuwa una malengo nae kwanini ukubali kulala nae chumbani kwako/kwake baada ya tukio la siku m0ja au mlamba asali alambi mara m0ja...,unatakiwa ufanye maamuzi ya kiume bado mapema acha ulibukeni usije ikawa umempa mimba yakawa mengne.
Ujana maji ya moto... Mwambie kama yupo tayari muwe sex partiners awe na boy wake na wewe girl wako na kama ukileta girl wako hapo anatakiwa awe mdogo na asimind ... Hiyo inawezekana na itakuwa nzuri sana... Ila usisahau kutumia condom na kujitahidi kuacha uzinzi..
umenasa eeenh!...jinasue tu mbona ipo easy tu si huna mpango nae? leta demu ghetto kama kawa akilianzisha unamchana tu "sina mpango na wewe"...haahaahah mchunguze kwanza uone je, ana njuguyugu?,,,kama anazo hama nyumba tu atakusumbua sana