Nimenasa!

Nimenasa!

njia rahisi sana wala haitaji ushauri,ya nn ujitese wakati nyumba nyingi tu za kupanga hama hapo kapange,tena unamuaga vzr tu na unamueleza uko na hny wako mazingira ya hapo hapendi na unakohamia hakikisha unamueleza wazi kuwa haruhusiwi kwa kuwa alikuita ulale nae basi waweza sema kwa ss imetosha
 
Dhambi bro, kaa naye mjadiliane hata ukihama usiende na gundu. Inawezekana alishapanga muda mrefu na ndo maana alikushawisi mlale wote the 1st dy.
 
Dhambi bro, kaa naye mjadiliane hata ukihama usiende na gundu. Inawezekana alishapanga muda mrefu na ndo maana alikushawisi mlale wote the 1st dy.

Ofcoz she told me kua she was intersted muda ingawa alikosa gia....najuuuuta kujirahisisha....
 
njia rahisi sana wala haitaji ushauri,ya nn ujitese wakati nyumba nyingi tu za kupanga hama hapo kapange,tena unamuaga vzr tu na unamueleza uko na hny wako mazingira ya hapo hapendi na unakohamia hakikisha unamueleza wazi kuwa haruhusiwi kwa kuwa alikuita ulale nae basi waweza sema kwa ss imetosha

I thnk u gat gud idea aisee
 
Hapo umekwama mkuu dawa ni kuhama vinginevyo chamoto utakiona cku ukija na mzingo mwingine
 
Si umuage kwenda kuangalia World cup Brazil halafu unajipoyeza kama ndege ya Malaysia? Simple sana
 
Ujana maji ya moto... Mwambie kama yupo tayari muwe sex partiners awe na boy wake na wewe girl wako na kama ukileta girl wako hapo anatakiwa awe mdogo na asimind ... Hiyo inawezekana na itakuwa nzuri sana... Ila usisahau kutumia condom na kujitahidi kuacha uzinzi..
JF......... kuna maushauri ya kila aina..

Hivi ulivyomshauri mwenzio, wewe unaweza kufanya.

Si umuage kwenda kuangalia World cup Brazil halafu unajipoyeza kama ndege ya Malaysia? Simple sana

Tehe...uzuri hua anatoka asbh anarud jion sana...so km nahama kaz itakua rahc anakuja kukuta peupee...ingawa ntakua nimemkimbia
 
Yaan uhame nyumba kisa mwanamke humtaki..!muhimu ushajitambua kuwa humuhitaji inatosha..we ingiza mademu zako kama kawa, akiwaona atajiongeza mwenyewe.
 
Wasalaaam....
Baada ya mihangaiko yangu ya uku na kule nimenasa kwenye mtego ambapo kwa kwel nahtaj mawazo tofaut na yangu nijinasue.....

Najua kuna ambao watasema oooh ulijifanya mjanja u-play boy sasa cjui nn...i beg them to spare those shits kwa kwel.....by the way nataka nizeeke na full experience...

Nimetembea na dada ambae tunepanga nyumba moja...tena vyumba milango inaangaliana (walah niliapa kutokufanya ivo ila nilizidiwa ujanja)

Basi ck iyo aliniita tupige stori kwake...sa 3...mara 4..5..6..wkt nataka kurud kwangu nkapumzike akashaur tulale ote tu haina shida..baada ya apo u take a gues....

Uyu dada sina malengo nae it was jst a crush!!!...kibaya dada wa watu kanielewa ile mbaya..anataka kila ck tulale ote km sio kwake bas kwangu.....

To make it short nataka niachane nae for gud...ingawa najua kwake n ngum na hataman kusikia ivo...na nimefanya ujinga coz nimekua kama nimeji-block coz cwez tena kuja na msichana akijua anaweza kuingia na mlango..tehe....

Sidhani kama ni tatizo kama blue hiyo ipo pouwaz. Me pia kuna kipindi (Enzi za ujana maji ya moto) nilikuwa nashare nyumba na mdada mmoja hivi wa haja, ila nilikuwa kila siku naingiza wadada tofauti na alikuwa anaona, ila cha ajabu na yeye akajilengesha, bila hiyana nikapita na nikawa namega mara moja moja, meanwhile nikaendelea kuleta wadada wengine mle ndani na akawa anawachekea tu na kuwaita wifi akipishana nao. Cha msingi you've already activated ##JUMP IN AT YOUR OWN RISK## hashtag.
 
Back
Top Bottom