Samahani my blackberry nilikuwa nakuangalia kila mara nikakukuta upo offline na mimi nikawa nimeshatoka ofisi saa 11 jioni hebu nipe maneno matamu mpaka wenye wivu wasage chupa wanywe.
Yaani mwenzangu na mie nimekuzimikia tangu ulipokuwa unanikaribisha na kunielekeza mambo mbalimbali, mie kipindi hiki niko tight sana ila muda si mrefu nitakuwa kila mara naingia humu.
Sasa let's reach the conclusion, maana mods washaanza kuchakachukua thread yangu wameitoa MMU wameileta Chit Chat na kesho wanaweza kuifunga. Ni PM basi ili nipate contact...

Week end imeshaanza mama tunapata moja baridi moja moto, na ishu ya kukaa kwenye PC mpaka kesho tena hapa au J3 kabisa, but if you send me PM naweza kureply hata sasa kupitia mobile... Najua hii thread mpaka kesho itakuwa ishafungwa.