Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.

Ashadii naungana nawe. Huyo mama mkwe wake ustaarabu umempita kando. Anajua kunba watoto ndani ya nyumba ambao wanaweza tumia the same WC then anatoka nje uchi wa mnyama. Si angejitanda hata kanga
Ila sioni effect yake hiyo ni imani yako tuu hakuna laana yoyote maana hukukusudia kufanya hivyo
Kuna jamaa hapa anasema ukweni siyo sehemu ya kukaa siku tano,wewe ilikuwaje?only 2 days is enough!!
1.endelea hivyo hivyo usimwambie mtu,hata na sisi hatujasikia.naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.
mbili za nini??? Siku moja inatosha sana.jamani nkosi mbona kwa wakwe wengine ni mbali... Waweza enda mara moja hata kwa miaka miwili.... Utakaa siku mbili hapo??