Nimemwambia nafunga ndoa, kachukia

Nimemwambia nafunga ndoa, kachukia

we achana nae huyo, we fikiria ndoa yako tu, salam zake kwako hazina msaada wowote mwache ajifunze kutokana na makosa yake
 
Asikuumize kichwa..atakufanya utende dhambi itayokucost. Mtupie kwenye dustbin!
 
Nimepata Stori kwa marafiki zetu hapa ofisini, jinsi anavyoumia kunipoteza, lakini kwa hapa nilipofikia Siwezi kurudi nyuma, na najitahidi sana kutompa nafasi ya kuwa karibu na mm asije akanibadilisha mawazo.
Achana nae alitumwa adengye hao ndio wachawi wenyewe kaaa nae mbali asije kukuharibia
 
seems ulikuwa plan E, sasa anashangaa plan A,B,C na posibly D zimefail halafu mambo yako yatakaa sawa,

Achana nae, baadae sana ataelewa na utaendelea kupiga mechi za mchangani
 
Ulichokifanya ni sahihi kabisa,sielewi kwanini unalialia. Unamfuatilia mtu na kumueleza more than once kuwa unamhitaji lakini haonyeshi dalili ya kukuhitaji wala kukupenda, unatambuaje kilicho kichwani mwake? Au unaotea tu kuwa na yeye atakuwa anakupenda huku ukisubiri kwa hamu akukubalie, miezi inaenda ukihope! @🙂&_$)&$@/""?
Sepa anza maisha mengine bila kumsumbua maana hata wanaobaka,kuna sehemu kubwa kati yao,huwa wanajikuta wamebaka kutokana na kudhani kuwa wanapendwa au wanaonewa aibu na kuhope wakitumia nguvu kidogo ndio maamuzi sahihi.
Endelea na yako na kama hakusalimii,hilo halikuhusu na uache kufuatilia mambo ya wengine. Focus kwenye maamuzi yako bila kujidistract na huyo wa zamani.
Pia uelewe kuwa, wanawake wanapenda attention,inawezekana hakupendi na wala hafikirii kukupenda wala kuwahi kukiwazia kimapenzi ila alikuwa anapenda ile attention uliyokuwa unampatia kwa kuonyesha unamjali n.k Sasa inawezekana anajisikia vibaya kuwa hilo limekwenda kwa mtu mwingine na yeye hayuko mawazoni mwako tena na blah blah blah nyingi kama hizo.
Kwa kifupi ni kuwa hiyo hali ni ya kawaida na zitaisha na yeye kukaa sawa.
 
Alikuwa amekuweka kiporo ndo maana alipoona kiporo chake kimeliwa amenuna ila ww nuna tu hata kama una mpenda onyesha msimamo
 
Dah! Itakuwa imemuuma sana. May be hakujua kwamba you mean business... Sasa kaona kuwa amekosa bahati ya kulala bila nguo ndio maana kaumia...
 
Sasa hapo wew shida yako ni nini!? Basi hairisha kumuoa huyo ulienae muoe huyo wa ofisin
 
Kuna Dada tunafanya nae kazi hapa katika kampuni moja ya vinywaji baridi. Kiukweli ni mwanamke niliyekua nampenda sana, lakini kila nikijaribu kumueleza hisia Zangu kwake, na kwamba nina mipango mizuri kwake, Lakini amekua akinizungusha na kuniletea Vikwazo kibao, mwisho nikaamua kuachana na nae nikaendelea na maisha yangu, Hivi karibuni nilipata Msichana tukaanzisha uhusiano, nimeshakwenda kujitambulisha kwao na hivi karibuni namtolea mahari. Sasa hiyu Dada kasikia hizi habari, jana kanipigia simu kuniuliza nikamwambia Yes! Naoa hivi karibuni. Amenuna sana, na ameniblock hata kwenye whatsap. Ofisini hanipi Hi tena. Hivi ni haki kweli katika hilo.[/QUOTE
Alikuwa anremba!? ha ha haaaaa achana nae
 
Sasa analia nini? Kama sio upumbavu ni nini? huyo sio chaguo lako mungu kakuepishia
 
Ila kosa lako ni kushindwa kumtongoza vizuri. Huyo alikuwa ameshajilaza kibla sema wewe kisu chako hakina makali. Ukiambiwa no basi we ukafikiri ni no kumbe ilikuwa yes. You never realised it na yeye atakuchukia sana maana ulishindwa ku discover kwamba anakupenda.

Mi sijaona wanawake wanaokataaga aisee.
 
Back
Top Bottom