Nimemwambia aagize kinywaji akachukua jackdaniel

Nimemwambia aagize kinywaji akachukua jackdaniel

Ticha Mpwayungu acha kunywa K Vant. Huiwezi ndio maana unabishana na Teknolojia, hiyo Cocktail mbona ipo UK na bado hukubali?? Na unatuaminisha wewe ndio unainywa hapa Dasalama?? Na zile glasses pale pembeni zipo hivyo hivyo hapo Seacliff hotel unapodai upo?? Huna tofauti na ma slayqueen wanaopiga picha na magari ya watu 😂😂😂

Cocktail iliyoandaliwa 2020 huko UK imeandaliwa tena vile vile kwa mazingira yale yale ila cocktail ya sasa ipo kwenye jiji la wazaramo anainywa mpwayungu?? Wewe Ticha utakuwa umetoroka mirembe.
 
mkuu hizo picha unazidownload au!! juzi ulikua songea jana ulikua kahama leo upo jijini,unachoma tu nauli,tupeane connection bwana mpyayungu
😁
IMG_20230226_052212.jpg
 
Hawa mabinti tutawala sana jicho Kwa tamaa zao, kwani KVANT na KONYAGI Zina shida gani? Hizi whiskey kama Hennessey na jackdaniel sio kwamba ni bora sana kuliko spriti ila ni ngharama Kwa sababu za transportation, kinywaji kinapanda ndege kutoka Pennsylvania mpaka dar Es salaam sio kitoto ila ubora ni uleule tu

Tulipofika swala la chakula mimi nikaagiza Wali maharage ila yeye akaodder kabisa Kwa special cook ili atengenezewe lamb chops gharama yake ni kubwa ila yeye hajali, mbaya zaidi Kala vijiko vitatu tu kashindwa na jackdaniel ameweka kwenye mkoba ili aweke kwenye friji lake nyumbani kama showwloff Kwa marafiki zake, wapuuz nyie punguzeni Tamaa View attachment 2529669View attachment 2529670
Mbona picha za ku google hizi bwana mpwayungu?
 
ungempa masharti kabla ndugu
 
Makosa ya kiufundi haya umefanya mkuu. Huwa tunamwambia "weita" mpe kinywaji flani huyu au unaongea na weita. Utakuja kuacha viatu Bar mkuu😁
 
Wapo watakokuja hapa kusema Huna hela , tafuta hela na kadhalika . Kama umepewa offer na mtu either n chakula au vinywaji. Angalia kwanza anaelipa Bill alichoagiza , boss anaagiza k vant wewe unaagiza Hennesy
Unapo mwambia mtu agiza unakuwa umempa uhuru so usishangae ww km ni wa vant ni ww inatakiwa umwambie mapema kuwa agiza soda bia au jiache
 
Back
Top Bottom