Nimemwambia aagize kinywaji akachukua jackdaniel

Hawa mabinti tutawala sana jicho Kwa tamaa zao, kwani KVANT na KONYAGI Zina shida gani? Hizi whiskey kama Hennessey na jackdaniel sio kwamba ni bora sana kuliko spriti ila ni ngharama Kwa sababu za transportation, kinywaji kinapanda ndege kutoka Pennsylvania mpaka dar Es salaam sio kitoto ila ubora ni uleule tu

Tulipofika swala la chakula mimi nikaagiza Wali maharage ila yeye akaodder kabisa Kwa special cook ili atengenezewe lamb chops gharama yake ni kubwa ila yeye hajali, mbaya zaidi Kala vijiko vitatu tu kashindwa na jackdaniel ameweka kwenye mkoba ili aweke kwenye friji lake nyumbani kama showwloff Kwa marafiki zake, wapuuz nyie punguzeni Tamaa View attachment 2529669View attachment 2529670
Huna hela unalia Lia hapa mwanaume😅
 
No comment
images (1).jpg
 
Hii story, mpwayungu katupiga
 
Wapo watakokuja hapa kusema Huna hela , tafuta hela na kadhalika . Kama umepewa offer na mtu either n chakula au vinywaji. Angalia kwanza anaelipa Bill alichoagiza , boss anaagiza k vant wewe unaagiza Hennesy
Achana nao
 
Back
Top Bottom