Nimemwambia aagize kinywaji akachukua jackdaniel

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,305
29,829
Hawa mabinti tutawala sana jicho Kwa tamaa zao, kwani KVANT na KONYAGI Zina shida gani? Hizi whiskey kama Hennessey na jackdaniel sio kwamba ni bora sana kuliko spriti ila ni ngharama Kwa sababu za transportation, kinywaji kinapanda ndege kutoka Pennsylvania mpaka dar Es salaam sio kitoto ila ubora ni uleule tu

Tulipofika swala la chakula mimi nikaagiza Wali maharage ila yeye akaodder kabisa Kwa special cook ili atengenezewe lamb chops gharama yake ni kubwa ila yeye hajali, mbaya zaidi Kala vijiko vitatu tu kashindwa na jackdaniel ameweka kwenye mkoba ili aweke kwenye friji lake nyumbani kama showwloff Kwa marafiki zake, wapuuz nyie punguzeni Tamaa
1677331591798.jpg
1677331530431.jpg
 
Hawa mabinti tutawala sana jicho Kwa tamaa zao, kwani KVANT na KONYAGI Zina shida gani? Hizi whiskey kama Hennessey na jackdaniel sio kwamba ni bora sana kuliko spriti ila ni ngharama Kwa sababu za transportation, kinywaji kinapanda ndege kutoka Pennsylvania mpaka dar Es salaam sio kitoto ila ubora ni uleule tu

Tulipofika swala la chakula mimi nikaagiza Wali maharage ila yeye akaodder kabisa Kwa special cook ili atengenezewe lamb chops gharama yake ni kubwa ila yeye hajali, mbaya zaidi Kala vijiko vitatu tu kashindwa na jackdaniel ameweka kwenye mkoba ili aweke kwenye friji lake nyumbani kama showwloff Kwa marafiki zake, wapuuz nyie punguzeni Tamaa View attachment 2529669View attachment 2529670
Huna hela, ubavu wa kumpeleka slayqueen sehemu wanayotengeneza lamb chops unaupata wp? Si muende shishi food pale mkale biriani na mango kubwa yaishe
 
Back
Top Bottom