Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,185
Ukiachana na mbwembwe tu za show of, what is so special about these bull shit stuffs????Nipo dar Es salaam maeneo ya seacliff hotel napata cocktail View attachment 2529678
Ukiachana na mbwembwe tu za show of, what is so special about these bull shit stuffs????Nipo dar Es salaam maeneo ya seacliff hotel napata cocktail View attachment 2529678
mwambieni aachane na walimuYuView attachment 2529731
😅😅😅 Yuko UK
Mwache dogo ajimwaye mwaye kwa misifa ya kijinga ndio kubalehe kwenyewe.Ukiachana na mbwembwe tu za show , what is so special about these bull shit stuffs????
Miaka 19 iliyopita nilipata kahawa ya maziwa kwa sh. 2000, wakati huo labda ulikuwa unajifunza kufinyanga udongo kule dodoma😂😂😂Nipo dar Es salaam maeneo ya seacliff hotel napata cocktail View attachment 2529678
Haahahaa....Daaah shikamoo technolojia🤣🤣🤣
mpwayungu village
Nunua hivyo vinywaji kama una ubavu huoMwache dogo ajimwaye mwaye kwa misifa ya kijinga ndio kubalehe kwenyewe.
Huenda ni kqeli au fix but ajue anapotaka kulala leo sisi tulishaamkia pale kitambo
Kwahiyo cocktail Dunia nzima ni hii tu, unaona ulivyo chiziYuView attachment 2529731
[emoji28][emoji28][emoji28] Yuko UK
Hawa mabinti tutawala sana jicho Kwa tamaa zao, kwani KVANT na KONYAGI Zina shida gani? Hizi whiskey kama Hennessey na jackdaniel sio kwamba ni bora sana kuliko spriti ila ni ngharama Kwa sababu za transportation, kinywaji kinapanda ndege kutoka Pennsylvania mpaka dar Es salaam sio kitoto ila ubora ni uleule tu
Tulipofika swala la chakula mimi nikaagiza Wali maharage ila yeye akaodder kabisa Kwa special cook ili atengenezewe lamb chops gharama yake ni kubwa ila yeye hajali, mbaya zaidi Kala vijiko vitatu tu kashindwa na jackdaniel ameweka kwenye mkoba ili aweke kwenye friji lake nyumbani kama showwloff Kwa marafiki zake, wapuuz nyie punguzeni Tamaa View attachment 2529669View attachment 2529670
Sina ubavu wa kudanganya kiasi hicho ndg yangu unaendelea kuwadharaulisha wagogo🤣🤣Nunua hivyo vinywaji kama una ubavu huo
Ndugu nakuomba kesho uchukue bolt uje mpaka Masaki mwisho then nitakuelekeza pakuja ili urudi humu kutoa shuhudamwambieni aachane na walimu
Awe busy kukusanya oda za mchele
Maboss sahivi wanatoa michele stoo
Hahaa tena ni ni picha ya 2020, chai ya moto sana hiiYuView attachment 2529731
😅😅😅 Yuko UK
Ingia buguruni pale kimboka uone vidada vinavyobugia double kick kama MajiHawa wanawake mnawaonea sana, ni either mna class ya hovyo na ni waongo sana ndo maana mnapata wanawake wa hivyo.
I am almost 50, katika maisha yangu na ya ujana sijawahi kukutana hata na mwanamke kwenye date anayekunywa pombe kali.
Hemu ni wakati sasa muanze kuwaheshimu Mama, Dada na wadogo zetu, wapo wengi sana sana sana wanaojielewa vizuri tu bila shida.
Jack Daniels na Hennessy siyo sawa na Konyagi wala K-Vant. Wewe ulimkaribisha na kumpeleka mahali ambapo ulijuwa uwezo unalingana na mahali ulipoenda. Kwa nini sasa umpe limitation au utegemee ataagiza wali kunde. Wewe ulitafuta misifa ya kwenda mahali pa gharama. Hata hiyo wali maharage si ajabu ulilipa mara mbile kulingana na sehemu zingine za chini. Usijilkweze huku pesa huna. Kama unaona mfuko ni kidogo nenda mahali pa size yako and expect no surprises.Hawa mabinti tutawala sana jicho Kwa tamaa zao, kwani KVANT na KONYAGI Zina shida gani? Hizi whiskey kama Hennessey na jackdaniel sio kwamba ni bora sana kuliko spriti ila ni ngharama Kwa sababu za transportation, kinywaji kinapanda ndege kutoka Pennsylvania mpaka dar Es salaam sio kitoto ila ubora ni uleule tu
Tulipofika swala la chakula mimi nikaagiza Wali maharage ila yeye akaodder kabisa Kwa special cook ili atengenezewe lamb chops gharama yake ni kubwa ila yeye hajali, mbaya zaidi Kala vijiko vitatu tu kashindwa na jackdaniel ameweka kwenye mkoba ili aweke kwenye friji lake nyumbani kama showwloff Kwa marafiki zake, wapuuz nyie punguzeni Tamaa View attachment 2529669View attachment 2529670
Ingia buguruni pale kimboka uone vidada vinavyobugia double kick kama Maji
😂😂😂😂😂😂 kudadeq wallahKwahiyo cocktail Dunia nzima ni hii tu, unaona ulivyo chizi
Mkuu si palishavunjwa!Huna hela, ubavu wa kumpeleka slayqueen sehemu wanayotengeneza lamb chops unaupata wp? Si muende shishi food pale mkale biriani na mango kubwa yaishe
Ukileta uzi ndugu usiwe unaweka na pichaNdugu nakuomba kesho uchukue bolt uje mpaka Masaki mwisho then nitakuelekeza pakuja ili urudi humu kutoa shuhuda
Kama unatumia laki tatu kwa siku, kwa nini unalalama. Kwani hizo lamb chops zilikuwa laki tatu?Lofa kweli wewe, ungejua per day na spend zaidi laki Tatu ungefuta huu ujinga