Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,330
Mwacheni dogo asiwe mnyonge hadi mtandaoni🤣🤣🤣🤣Hahaa tena ni ni picha ya 2020, chai ya moto sana hii
Anatanua kwenye ndoto
Mwacheni dogo asiwe mnyonge hadi mtandaoni🤣🤣🤣🤣Hahaa tena ni ni picha ya 2020, chai ya moto sana hii
YuView attachment 2529731
[emoji28][emoji28][emoji28] Yuko UK
Mr Liverpool hawa watoto hawajui kitu, kama bata mimi nakula sio mpka wikiendi hata jumatatu mimi naenda Beach resort
thubutu yake hata hiyo kazi aitoe wapi?watu wa hivi maisha yashawaendea kombo wanatafuta sehemu ya kujifarijimwambieni aachane na walimu
Awe busy kukusanya oda za mchele
Maboss sahivi wanatoa michele stoo
Njoo nipo kidimbwi mda huu naletewa Isabella Islay whisky nilitoa odder mwezi uliopita imekuja Leothubutu yake hata hiyo kazi aitoe wapi?watu wa hivi maisha yashawaendea kombo wanatafuta sehemu ya kujifariji
Lofa kweli wewe unafikl wote ushuzi kama wewe, sisi kuagiza Diva vodka hata kumi hatuwazi pesa inaingia nikiwa nimelalathubutu yake hata hiyo kazi aitoe wapi?watu wa hivi maisha yashawaendea kombo wanatafuta sehemu ya kujifariji
Unajikosha tu kiufupi una maisha magumu ndo maana unaleta picha ya kudownload ya mwaka 2020 eti cock tail,cock tail mafi yakoLofa kweli wewe unafikl wote ushuzi kama wewe, sisi kuagiza Diva vodka hata kumi hatuwazi pesa inaingia nikiwa nimelala
Huna unalolijuaUnajikosha tu kiufupi una maisha magumu ndo maana unaleta picha ya kudownload ya mwaka 2020 eti cock tail,cock tail mafi yako
Sisemi kwa ubaya tena nakukubali ila mwenzangu una maisha magumu
Hhhahaha ivi eeeeUkitaka kujua mabinti vichwa vyao ni upepo yataingia kingi
Wanazani wew ni wamchezo mchezo....Nipo dar Es salaam maeneo ya seacliff hotel napata cocktail View attachment 2529678
HawaelewiWanazani wew ni wamchezo mchezo....
Tichaaaaa weee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njoo nipo kidimbwi mda huu naletewa Isabella Islay whisky nilitoa odder mwezi uliopita imekuja Leo