Nimemwambia aagize kinywaji akachukua jackdaniel

Jack Daniels na Hennessy siyo sawa na Konyagi wala K-Vant. Wewe ulimkaribisha na kumpeleka mahali ambapo ulijuwa uwezo unalingana na mahali ulipoenda. Kwa nini sasa umpe limitatrion au utegemee ataagiza wali kunde. Wewe ulitafuta misifa ya kwenda mahali pa gharama. Hata hiyo wali maharage si ajabu ulilipa mara mbile kulingana na sehemu zingine za chini. Usijilkweze huku pesa huna. Kama unaona mfuko ni kidogo nenda mahali pa size yako and expect no surprises.
Una uhakika gani Sina pesa
 
Kwa lugha ulotumia unaonekana huna ustarabu ngoja nikuache
Ukweli ni kuwa wewe mpwayungu ndio sio mstaarabu.Uko kwenye level ta kulalamikia Bei ya jack Daniels Sasa una tofauti gani na walimu unaowananga kila siku?Naona umejipa kibarua maaluum cha kuwabagaza na kushusha hadhi na heshima ya walimu kiasi kwamba it's too much!Kwani walimu tu ndio wafanyakazi pekee wenye maisha magumu? Sasa kama unalalama hapa demu aneagiza JD,Kinywaji gani sasa utanunua ambacho hakitakutoa kwenye level ya walimu kama unavyotamba hapa kila siku?
Ni mpumbavu pekee kama wewe anaweza kujipa kibarua kama ulichojipa.NASEMA HIVI,KILA KAZI INA FALSAFA ZAKE,NA LIMITATIONS ZAKE.AS LONG AS MTU AMECHAGUA KUWA MWALIMU AACHWE AFANYE YAKE.NA UKWELI ULIOWAZI NI KUWA,WEWE MPWAYUNGU NA WENGINE WOTE WANAOKUSHABIKIA NI AINA YA WALE WANAFUNZI AMBAO HAMKUPENDA KUKOSOLEWA WALA KUREKEBISHWA,SASA MKO URAIANI MNAMWAGA HASIRA ZENU MITANDAONI KWA KUWATUKANA WALIMU
Mwnaume yeyote ambaye hawezi kumudu bei ya JD ana hela gani ya kutambia.?Hovyo tu
 
Sawa mwalimu
 
Back
Top Bottom