Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,698
- 2,887
Kwani Lamb chop na JD bei gani mwalimu?
Siweki, fanya unachotaka sasaWeka picha yake tuone
Take risk, jichanganye namatajiri toka kwenye vijiwe vya kahawamkuu hizo picha unazidownload au!! juzi ulikua songea jana ulikua kahama leo upo jijini,unachoma tu nauli,tupeane connection bwana mpyayungu
motivational speakers wordsTake risk, jichanganye namatajiri toka kwenye vijiwe vya kahawa
Pole sana mkuu, MIMI Sina maisha yakuhangaika Kwa jasho, kahama naenda kukusanya hesabu tu then na back jijini kula maisha, bata hata jumanne nakula sisubiri wikiendiMwenye simu ya tecno aweke hii picha google search photos.. zitakuja nyenzake
Mpwayu yuko zake Kahama huko anakusanya oda za mchele
Ningekujibu ila swali halinihusu linahusu walimuKwani Lamb chop na JD bei gani mwalimu?
Mimi hivyo Vyakula na hivyo vinywaji sijawai kula wala kuviona ndo nipo nashangaa shangaa hapa machoHawa mabinti tutawala sana jicho Kwa tamaa zao, kwani KVANT na KONYAGI Zina shida gani? Hizi whiskey kama Hennessey na jackdaniel sio kwamba ni bora sana kuliko spriti ila ni ngharama Kwa sababu za transportation, kinywaji kinapanda ndege kutoka Pennsylvania mpaka dar Es salaam sio kitoto ila ubora ni uleule tu
Tulipofika swala la chakula mimi nikaagiza Wali maharage ila yeye akaodder kabisa Kwa special cook ili atengenezewe lamb chops gharama yake ni kubwa ila yeye hajali, mbaya zaidi Kala vijiko vitatu tu kashindwa na jackdaniel ameweka kwenye mkoba ili aweke kwenye friji lake nyumbani kama showwloff Kwa marafiki zake, wapuuz nyie punguzeni Tamaa View attachment 2529669View attachment 2529670
Nitajie bei zake tafadhaliNingekujibu ila swali halinihusu linahusu walimu
Nitajie bei zake tafadhaliNingekujibu ila swali halinihusu linahusu walimu
Mimi sio mwalimuNitajie bei zake tafadhali
Duh mimi bado sana.Kama hujawahi kumuagizia dem kinywaji cha gharama alafu akanywa robo akaacha hadi ukatamani umalizie
Ujue wewe bado saaana
Mimi ni mtanzania sipo kwenye wahuniHaha kwani wewe sio wa cuba
Pole sana ishi kwakuomba Mungu siku utakuwa kama mimiMimi hivyo Vyakula na hivyo vinywaji sijawai kula wala kuviona ndo nipo nashangaa shangaa hapa macho
Kwa hiyo ulimla jicho?Hawa mabinti tutawala sana jicho Kwa tamaa zao, kwani KVANT na KONYAGI Zina shida gani? Hizi whiskey kama Hennessey na jackdaniel sio kwamba ni bora sana kuliko spriti ila ni ngharama Kwa sababu za transportation, kinywaji kinapanda ndege kutoka Pennsylvania mpaka dar Es salaam sio kitoto ila ubora ni uleule tu