Nimemuongezea ulinzi mchumba wangu

Jaribu na hii mbinu........

 
Wewe Fuso,kama una kazi basi utaiharubu,kama una biashara basi ndio mwanzo wa kufilisika,mwanamke akitaka kufanya uchafu wake atafanya na wewe utakalia unalinda maji yasivuje kwenye pakacha,huyo mwanamke wa KI DOT COM,anajua yoote kuhusu tracking system,si ajabu anakuachia tu kwa muda huu wa uchumba ili akufanye umuamini,lakini itakapofika anataka mkwaju mwingine basi kama sio yeye hata huyo mchepuko wake atamfundisha jinsi ya kucheza na gadgets,hapo utajikuta unajiaminisha kwamba mke wangu ni nambari one nimebarikiwa,kumbe ngoma inapigwa kinoma.Kwa kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume,wewe mwambie wazi kuwa huchungi mwanamke,na ikitokea dalili mbaya nakupiga chini na naoa mwanamke mwingine,mwambie kwa kiapo thabiti,hata kama amezaa watoto kumi anaachwa tu.
 

With this attitude pia, he put her off which is very bad... Hata Kama si wakuliwa anaweza gegedwa
 
Mpende ila huo ulinzi duuh km unampa kibali
 
Unatafuta stress tu.........wengine wanatumia landline za maofisini au za jirani
 
Mimi natumia namba ya shosti qake kufanya naye appointment. Dukua na hiyo.
Hujanielewa, nimekwambia calls zake zote zinakuwa recorded na kuwa fowarded kwangu bila yeye kujua; sms zote pamoja na zile za WhatApp nazo vile vile. , kwa hiyo nitakusikiliza na nitakukamata kama kuku kabla hata hujaliona paja, then utashuhudia kitakachokupata ili ukawasimulie na wezi wenzio!!
 
Unatafuta stress tu.........wengine wanatumia landline za maofisini au za jirani
Hilo nalitambua, lakini on the process lazima tu utatumia mobile yake, sababu wewe hutajua kama nimetega mitego yangu hii, na yeye pia hajui na sitaki ajue. kwa hiyo on the process ya kwenda kumegana lazima mtatumia mobile zenu. hapo lazima uingie kwenye 18 zangu ili ukawasimulie na wenzako.
 
Hahahahahahaha wewe kiazi kweli unakunya vikutu vya mbuzi sisi mavi ya tembo. Mimi kwanza simcheki demu na simu yake humtumia rafiki yake au ndugu zake kutuma sms kuwa nataka kuonana nae. Sasa sijui hii utakuwa na mbinu ipi na hio nguvu yako ya giza mimi lazima niingize ndimu kwenye papuchi inaondoa hayo mafigisu ya ushirikina. Usicheze na matozi mkuu tuna PHD za kuchepuka
 
Kaka jifunze Technologia, nimekwambia na narudia tena soma post zangu hapo juu kwamba hata ukitumia land line as long as umempigia yeye basi umekwisha!! simu zote zinakuwa recorded na zinakuwa forwarded kwangu kwenye form ya MP3 baada ya call kukamilika. upo dunia ngani ndugu. Hiyo WhatsApp ndiyo kabisaaa!!!

Ushirikina ni option ya mwisho kabisa!! na hii nitaitumia kwa wale ma-popobawa tu, nyie binadamu wa kawaida tutamalizana ana kwa ana.
 
Mkuu Hongera kwa kumpenda mchumba wako, hiyo ni ishara nzuri ya Upendo ulionao kwake.

Nikuume sikio tu ndugu yangu na rafiki yangu kuwa unachokifanya na ambacho unaendelea kukifanya SIO njia sahihi ya kukuhakikishia ulinzi wa mchumba wako.

We umejikita kuangalia sana vitu kama simu na Jinsi anavyoitumia ili ikupe ishara na mawasiliano na wale anaowasiliana nao.

Unajaribu kutatua tatizo External na kusahau kabisa vitu vyote avifanyanyavyo binadam huratibiwa na UBONGO, ungekuwa na ulinzi salama kama ungemjenga kiakili na kisaikolojia na akakuamini hiyo ndio ingekuwa njia sahihi kuliko hiyo unayoitumia.

Angalia comments nyingi kwenye huu uzi wako wanachokisema si Wanaume wala Wanawake wote wanakuambia Kitu kimoja, swali la kujiuliza Je watu wote hawawapendi wake zao?
Je ni wewe tu ndie unajua hizo software na ndio wa kwanza kunitumia?

Fikilia nje ya box, usipoteze mda kwa kufanya kilichowahi kufanyika na hakikutatua Tatizo kwa asilia 100, kazi kwako ushauri nimekupa Bure.
 
Fuso kazi yake kubeba mizigo tu sio kufanya mambo ya udukuzi. Inaonekana wewe ndio hujaelewa nini nimesema hapo. Nimesema kama nataka kuonana na huyo demu wako mimi namtumia sms shoga yake au ndugu yake ampigie simu kama waende shopping au atowe sababu yoyote ile ili atoke. Wewe utaona ametoka na shoga yake au ndugu yake kwa mihangaiko yao ya kawaida tu. Kumbe anakuja kwangu mimi hayo mambo nishafanya sana tu Mkuu acha kujifanya sungusungu wa papuchi mbululaz wewe.
 
Ww unalinda Digital wenzako wana kula Analog.
 
Kama yote hiyo yanafanyakazi kama ulivyopanga, ndani ya wiki moja uchumba wenyewe utakwisha au wewe kupumzishwa kaburini kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…