Sasa bro ukibana sana.. mafisi tutajinadi vipi
dhana potofu!!! traditional belief eti anajilinda mwenyewe !!! maweeeee!!!Kama ni kumegewa utamegewa tu..hizo njia hazisaidii!!
Wanajizuru?Madogo Kama hawa ndo huwa wanajizuru!!!! Msaidieni ndugu yenu jaman, Ni Mtanzania mwenzetu.... Na uhakika hata wadada hapa wanasema huyu naye katoka wapi..... Mwanamke Ni Habari nyingine ndugu zangu.
Duh kaka utaishi kwa shida sana tena watakumegea hutaamini, kazi simple kumegewa kama mke wako akiamua kua kicheche huna la kufanyakaka kama umeamua demu wako aliwe ni wewe lakini siyo wote!!
Just ni pm tu jina kamili la demu wako mengine niachie mie. ..kisha mrejesho utauleta hapaaSoftware Programs zipo nyingi tu Mkuu, ndiyo maana nasema hivi mtu acheze na demu wangu - ataona kitakachomkuta.
Wanajizuru?
Hahaahaa..mkuu utamegewa tu! Ukimkamata itakuwa yeye au aliyemmega kakosa umakini!! Yaani inakuwa kama jogoo...na mimba hapo hapo!!dhana potofu!!! traditional belief eti anajilinda mwenyewe !!! maweeeee!!!
Nimekupata. Ngoja tumuulize bwana mdogo huo ulinzi atauweka mpaka lini? Kama yupo kipindi cha uchumba yupo protective hivyo akiwa kwenye ndoa si ndio atafunga cctv cameras kila mahali??.Wakigundua tofauti na wanavyofikiri wanaweza kujidhuru
Ndo nimekutaarifu, kama una mchezo huo wa kumega mademu wa wenzako acha mara moja, utaumia - usichezee moto!!Nilidhani umeweka ulinzi kama huu kumbe ni magumashi! Na ukishaweka demu ndani utapigiwa vilevile acha uboya
tyta ulikuwa wapi ulipotea kama mizengo pinda
Wewe mwanamke hana uaminifu, ndiyo maana leo hii ukifa hakai hata siku 3 watu wanammega vilevile ; sasa ni kheri wammege nimeshakufa lakini nikiwa nighali hai - - haiwezekani.Nimekupata. Ngoja tumuulize bwana mdogo huo ulinzi atauweka mpaka lini? Kama yupo kipindi cha uchumba yupo protective hivyo akiwa kwenye ndoa si ndio atafunga cctv cameras kila mahali??.
Kwa mtazamo wangu binafsi, ulinzi kama huo ni ishara ya kutoaminiana "uaminifu" hata kwa asilimia chache ndio chanzo cha kudumu kwa mahusiano.
ndiyo maana nimekwambia nina last option ambayo naifanyia implementation leo usiku, hii nitatumia nguvu za giza. Nikikukosa kwenye option 1 to 4, basi nakukamata kwenye ile ya 5.Ahaaaaa na wale wanaomtafuna bila mawasiliano? Like the shamba boy ahaaaaaaa linda baba utakufa na pressure!