Nimemuonga mpenzi wangu naye amemuonga jamaa, ushauri tafadhali

Tatizo jamaa aliyeogwa mtu wa kujiproud sana, msema maneno machafu. Alafu the way nivyoinunua nikikumbuka, inauma.

Nakuona wewe ni mgeni na wanawake!!..yaani wewe ukishatoa (honga)..hesabu mmelipana..na ukiona mali zako anahongwa mwingine hujui huna chako..wewe kuwa mpole tu na kama vipi tafuta shoree mwingine..mambo ya ubabe wa mademu mbona issues za kitambo sana mtuwangu!
 
kwamza nimecheka sana lakini pia nimesikitika sana ndugu ila naona kama umejichoresha flani.
lakini wajua ni hivi. "you buy her an underwear and someone removes it that is what is called seperation of power".
 
Kuwakomoa kanunue nyingine mbili uwahonge yeye na jamaa pia

BABA V: Yawezekana hiyo nayo imepatikana kwa ka- mshahara ka mwisho wa mwezi, jeuri nyingine hadi mwezi ujao ndiyo maana nakomaa nao.
 
Jamaa ni nani? Mwanaume mwenzie?
Manake kama kahonga mwanamke its ok,lol. Sharing is caring
 
Kupelekana polici huko hakukusaidii kitu cha msingi ni kusepa kimya kimya kwani kabla ya kuhonga ulitakiwa kujiridhisha kwanza kama jamaaa yuko kwako for real. Bob ni bora ukaweka wazi mambo yako kwani hapa nahisi ulikuwa unamuhonga huyo demu ili akukubali while alikuwa tayari anamtu wake thats why ulipompa tuu hiyo 4n akaona bora ampatie mtu wake:confused2:. NEXT TIMES BE CAREFUL BOB NA HIVI VIUMBE.
 
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

TIQO mhhh huo ushauri balaa
hii kesi ya galaxy ni ya pili sasa naisikia msichana kahongwa na yeye anahonga au ni wewe umeamua kuiweka humu???
Ila yule ni mkewe
pole bana ndo ukubwa
 
Last edited by a moderator:
Kaizer na SnowBall kwani nyie mkihonga huwa mnadai checklist ya matumizi?ahahahhahahahah pana chezeya kuhonga bana we wahonga mwenzio nae aitwa budhi!
mapenzi ya aina hii bana ni kula nikule
 
Last edited by a moderator:
Pole sana .wanawake wa siku hizi (baadhi yao ) huwa wanawapenzi zaid ya mmoja yaani wa kumtosheleza kimapenzi(anayependwa zaid) na wa kutoa pesa na vitu vingine kama simu nk. Kwa hiyo ndugu yangu ww nimzuri kifedha lakini mambo ya sita kwa sita mwenzio amekuzidi na ndio maana amehongwa Samsung galaxy uliyonunua ww.
 
Big up Bob! hii separation of power imekaa vizuri kinoma noma. Kama vip jamaa ajipaaaaaange sana
 
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

wewe nawe Sandawe kweli! ulimwonga mpenz wako au ulimpa zawadi? mpenz wako humuongi unampa zawadi, unaoonga mtu ukitarajia kitu kutoka kwake huyu ni demu wako unampa kitu ni wako hiyo ni zawadi si ongo! Halafu zawadi au hongo toka lini wakadai? na kumpeleka binti wa watu polisi uoni umemwonea ulimpa kwa hiari yako kwanini umpe taabu tena?
 
BABA V: Yawezekana hiyo nayo imepatikana kwa ka- mshahara ka mwisho wa mwezi, jeuri nyingine hadi mwezi ujao ndiyo maana nakomaa nao.

Inawezekana kweli mkuu Miwatamu, maskini msandawe anaonekana kaumia sana
 
Last edited by a moderator:
Kaizer na SnowBall kwani nyie mkihonga huwa mnadai checklist ya matumizi?ahahahhahahahah pana chezeya kuhonga bana we wahonga mwenzio nae aitwa budhi!
mapenzi ya aina hii bana ni kula nikule
Mimi nikuambie pacha nikihonga sihesabu wala sikumbuki..nshawahi kuhonga gari na wifi yako alivonizingua nikamwaga na mkweche nikamuachia...
 
Kaizer na SnowBall kwani nyie mkihonga huwa mnadai checklist ya matumizi?ahahahhahahahah pana chezeya kuhonga bana we wahonga mwenzio nae aitwa budhi!
mapenzi ya aina hii bana ni kula nikule

Mwalimu snowhite hiyo inatosha kupewa "mbuzi kagoma"? Nina mashaka kama jamaa ameonapo ndani aisee
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom