Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,342
Msandawe kaingizwa choo cha kike! Hapana chezea mwanamke ya mujini.
Alifikiri yupo kwao Kwamtoro au Ovada, ameingizwa mjini
Msandawe kaingizwa choo cha kike! Hapana chezea mwanamke ya mujini.
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
tatizo wakaka bila hata ya kuombwa mnaanza kutupa hela simu na shopping kalikali
hivi musipotoa hivi vitu hamuhisi kutumiliki????????????????
HUYU MDADA AKAREKODI MKANDA WA ----- AKUWEKEE KWENYE SIMU then akurudishie
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi kiume- mwana FA
acha kulalamika na wewe tafuta mwingine wa kumliza

Yaani umempa then unapanga jinsi gani aitumie?...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
Nawewe unakuwa kilaza hadi kwenye mapenzi unakuwa kama siyo mtoto wa mjini??Tafuta vibaka wamkabe na loba ya misumari atoe simu wamchukulie na pesa yake!!Kama vipi ni PM kama uko Dar,lakini hiyo mbona inarudi fasita na faida nyingi!!Tatizo jamaa aliyeogwa mtu wa kujiproud sana, msema maneno machafu. Alafu the way nivyoinunua nikikumbuka, inauma.
Yaani umempa then unapanga jinsi gani aitumie?...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!