Nimemuonga mpenzi wangu naye amemuonga jamaa, ushauri tafadhali

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
647
350
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
 
Ukimpa mtu kitu usimpangie akitumieje aisee..
Sasa kama mshapelekana polisi kwa nini usitulie ujue hatma yako..
BTW umemshtaki kwa kosa gani??...kuhonga kitu cha kuhongwa?..ryte?...lol!!
 
haya mapenzi ya kupelekana polisi hivi kumbe bado yapo!dah nahisi naanza kuzeeka sasa kama mwana FA
 
Ukome kuvamia fani ya UHONGAJI!!!!!!!!!!!! Uwe unahonga kwa stepu, sio kichwa kichwa!!!!! Hicho kisimu hakuna kukisamehe wala nini, wewe umekosea kuleta ubabe wakati kuku keshaliwa, haya zoa manyoya uende nayo nyumbani!!!!! Hapo inabidi kwanza umzidi akili, ikwemo kumdanganya simu isiwakosanishe, bado wampenda, akusamehe kumuweka ndani. Blah blah blah hadi aamini soo limeisha na amekutuliza ka maji ya mtungi. Subiria Mwezi hivi, jifanye una shida kinomaaa, mkope LAKI 5 akikupa tu mwambie ndo fidia ya SIMU, Achape lapa. Ila kiubabe ushapotezwaa kitambo!
 
Kachukua cm kampa demu alipompotezea kamnyang'anya , ukitoa toa kwa moyo ndugu.
 
Mnunulie simu mpya HTC android ya kumuombea msamaha amwache bwana wake, akurudie wewe
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
 
Ukimpa mtu kitu usimpangie akitumieje aisee..
Sasa kama mshapelekana polisi kwa nini usitulie ujue hatma yako..
BTW umemshtaki kwa kosa gani??...kuhonga kitu cha kuhongwa?..ryte?...lol!!

Tatizo jamaa aliyeogwa mtu wa kujiproud sana, msema maneno machafu. Alafu the way nivyoinunua nikikumbuka, inauma.
 
:israel:kanunua simu kampa demu walivyoachana kampokonyaaa:dance::dance::dance:...........
arere arere mchumu pwaaa!:A S-baby:
ulikuwa unachunwa tu, kimbia fasta.
 
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

Kumbe ulimhonga!!? sasa wewe ukimhonga si inakuwa yake!? ulitaka akurudishie ili iweje!? na yeye angesema umrudishie palepale polisi UTAMU aliokupa ungefanyaje, afu unamuita mpenzi wako na ukamuweka mahabusu saa nzima hadi akaja kutolewa na jamaa!!, jiangalie kijana,jipange upya songa mbele otherwise itaku cost!
 
Jamani Msandawe... Ilikuwaje? Hii kali! yaani nimeishiwa maneno.. Polee...
 
Ukome kuvamia fani ya UHONGAJI!!!!!!!!!!!! Uwe unahonga kwa stepu, sio kichwa kichwa!!!!! Hicho kisimu hakuna kukisamehe wala nini, wewe umekosea kuleta ubabe wakati kuku keshaliwa, haya zoa manyoya uende nayo nyumbani!!!!! Hapo inabidi kwanza umzidi akili, ikwemo kumdanganya simu isiwakosanishe, bado wampenda, akusamehe kumuweka ndani. Blah blah blah hadi aamini soo limeisha na amekutuliza ka maji ya mtungi. Subiria Mwezi hivi, jifanye una shida kinomaaa, mkope LAKI 5 akikupa tu mwambie ndo fidia ya SIMU, Achape lapa. Ila kiubabe ushapotezwaa kitambo!

Hujambo wewe!? afu nahisi ndo wewe uliyehongwa afu ukaenda kumhonga yule jamaa unamzimikia humu
 
kuna thread jamaa anasema be careful with snakes,they always bit ur ass lol!!pole sanaa mkuu,mjini form 6
 
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee haipunguzi maumivi inarudisha hadhi kiume- mwana FA
acha kulalamika na wewe tafuta mwingine wa kumliza
 
Jamani Msandawe... Ilikuwaje? Hii kali! yaani nimeishiwa maneno.. Polee...

AshaDii, husika na somo tajwa, Msandawe kahonga bibie nae akai foward, msandawe kawasha moto hadi kumuweka ndani bibie karuka kimanga, kwenye kuhonga kuna ushahidi!!? ndo amekimbilia hapa mumshauri
 
Last edited by a moderator:
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi kiume- mwana FA
acha kulalamika na wewe tafuta mwingine wa kumliza
 
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

Kuwakomoa kanunue nyingine mbili uwahonge yeye na jamaa pia
 
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

Kumbe akina Mlugo mpo wengi eheeee!! Kiswahili fasaha ni KUHONGA na si KUONGA

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom