Nimemuonga mpenzi wangu naye amemuonga jamaa, ushauri tafadhali

Nimemuonga mpenzi wangu naye amemuonga jamaa, ushauri tafadhali

umechemka mzazi ulitakiwa umpe kwa kumwambia kuwa unampa kwa muda ili asije naye akagawa. Huna haja ya kumshati kosa unalo wewe halafu ukishaingia kwenye dunia ya kuhonga usiwe na machungu
 
Nilipo kuwa mtoto nilikuwa sifahamu nini maana ya mapenzi, lakini leo hii nimekuwa. Mapenzi ni jabalai, yanaweza kukutoa roho, mara moja. Maisha yenyewe ya kuunga unga na super glue
 
Mzigo kama ulipiga unataka nini tena.Ila kama wewe ni mjanja mrudie kwa speed zote halafu kila unachomnunulia andika jina lako siku ya siku unavichukua kwa ulaini asiamini mwenyewe
 
mapenzi ya kitapeli jamani watu wengine wana vipaji,mimi siwezi kupokea kitu cha mtu kama sina interest nae
pole bwana
achana nae
 
Jamani tukubaliane kwanza kama ukimuhonga mwanamke iwe ni kitu chochote kinatakiwa kiwe chake.. Hatakiwi hata kidogo kwenda kukigawa (au worse stl kuhonga kwa mwanaume mwingine).. Maana unachomuhonga ni alama ya mahaba ulionayo kwake.. Ikiwa atakichukua na kwenda kuhonga mbele ya safari.. ni tabia mbaya na uswahili uliopitiliza..

Ushauri wangu kwa JF members wa kiume.. Hakikisha unapata risiti kwa item yeyote ambayo unanunua kwa ajili ya kwenda kuhonga.. Na hakikisha risiti inakuwa na jina lako na ikiwezekana uende na mashahidi wakati wa kununua.. Najua wakati wa tendo la kuhonga utataka uwepo mwenyewe (kwa kuchelea kuchekwa ujinga) lakini bado utakuwa na mashahidi ambao ikitokea mwanamke amehonga na yeye.. watakuwa tayari kuja kutoa ushahidi kwamba kilichohongwa ni cha kwako..

Ila swali kwako Mkuu Msandawe Halisi.. Wewe unatumia cimu ya aina gani..?
 
poor you!!!!!!!!!
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
 
kha!!! kijana ukihonga wewe kuwa na lengo moja tuu...kumega K basii!!! kama umemega K all is well
 
mapenzi ya kitapeli jamani watu wengine wana vipaji,mimi siwezi kupokea kitu cha mtu kama sina interest nae
pole bwana
achana nae

naku PM nikutumie vocha ya dola 10 mtandao gani unatumia?
 
tatizo wakaka bila hata ya kuombwa mnaanza kutupa hela simu na shopping kalikali

hivi musipotoa hivi vitu hamuhisi kutumiliki????????????????

HUYU MDADA AKAREKODI MKANDA WA ----- AKUWEKEE KWENYE SIMU then akurudishie
 
Tatizo jamaa aliyeogwa mtu wa kujiproud sana, msema maneno machafu. Alafu the way nivyoinunua nikikumbuka, inauma.

Sasa wewe samsung tu unampeleka mpaka polisi? Mimi nilihonga noah na yeye akamuhonga jamaa, ili kumuonyesha nikahonga voxy, kabla hajamuhonga ten jamaa nikahonga kadi ya benki chezea malavidavi wewe! Kama sio fani yako kuhonga tuachie wenyewe
 
Inawezekana kabisa hata wewe ulikuwa unapewa kitumbua mali ya huyo jamaa aliyepewa simu, yaan ulikuwa unaongwa kitumbua. Chukulia ni kitu cha kawaida
 
Tatizo jamaa aliyeogwa mtu wa kujiproud sana, msema maneno machafu. Alafu the way nivyoinunua nikikumbuka, inauma.
Wewe una matatizo,kwani alikuomba umnunulie simu?? Nani alikudang,anya ukimnunulia simu atakupenda?? Kumbuka mapenzi sio vitu....
 
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

Nafikiri uyaache, aibu uliyopata inatosha.
 
Polisi nao wana kazi! Sijui kesi za kuhongana katika mapenzi wanazishughulikia kwa sheria gani?
 
Back
Top Bottom