Nimemuonga mpenzi wangu naye amemuonga jamaa, ushauri tafadhali

Jamani tukubaliane kwanza kama ukimuhonga mwanamke iwe ni kitu chochote kinatakiwa kiwe chake.. Hatakiwi hata kidogo kwenda kukigawa (au worse stl kuhonga kwa mwanaume mwingine).. Maana unachomuhonga ni alama ya mahaba ulionayo kwake.. Ikiwa atakichukua na kwenda kuhonga mbele ya safari.. ni tabia mbaya na uswahili uliopitiliza..

Ushauri wangu kwa JF members wa kiume.. Hakikisha unapata risiti kwa item yeyote ambayo unanunua kwa ajili ya kwenda kuhonga.. Na hakikisha risiti inakuwa na jina lako na ikiwezekana uende na mashahidi wakati wa kununua.. Najua wakati wa tendo la kuhonga utataka uwepo mwenyewe (kwa kuchelea kuchekwa ujinga) lakini bado utakuwa na mashahidi ambao ikitokea mwanamke amehonga na yeye.. watakuwa tayari kuja kutoa ushahidi kwamba kilichohongwa ni cha kwako..

Ila swali kwako Mkuu Msandawe Halisi.. Wewe unatumia cimu ya aina gani..?

Tabu yote hiyo ya nini? Kama haupendwi haupendwi tu! hata ukihonga nini watu watachukua na kukucheka pembeni hata kama hawatahongana juu kwa juu.
 
She was suckin' the nex niguh dick
(Oh, shit)
Hey man, I was just watchin' this, it was monotonous
I couldn't figga the nex niguh dick in my girl's esophagus
Suckin' the nex niguh dick
(Oh, shit) Suckin' the nex niguh dick
(Oh, shit)
Suckin' the nex niguh dick
(Oh, shit)
 
Pole ila sidhani kama huyo ni mpenzi wako.Mpenzi ungeweza kumpa vizuri akakurudishia tena
 
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

Lia mpaka machozi yaishe kalagabaho........ Dawa ya moto ni moto! Unamhongaje mpenzi wako? Kwa lipi? Ungempa zawadi asingeitoa ila kwa kuwa ulimhonga, rushwa haiishii unapohonga. Mali ya hongo huishia kwenye hongo. Utaisoma
 
Wengine tunaonga "Harrier" na kesho unakuta dereva ni kijana wa "mujini" na wala hatujisikii tatizo...! Ukihonga ni sawa na kutoa sadaka...!
 
kwamza nimecheka sana lakini pia nimesikitika sana ndugu ila naona kama umejichoresha flani.
lakini wajua ni hivi. "you buy her an underwear and someone removes it that is what is called seperation of power".

lyk it. Huh!
 
Polisi nao wana kazi! Sijui kesi za kuhongana katika mapenzi wanazishughulikia kwa sheria gani?
 
Hapo hakuna kesi una jisumbua!
Hiyo ni mali ya mwanamke tena umempa kama zawadi, kwa hiyo ana uhamuzi wa jinsi ya kutumia!

Ni bora uachane nayo maana huna haki kwenye hiyo simu!

Nothing goes for nothing!

Kama huwezi kuonga ni bora ukaacha! Kuhonga ni sawa na kutoa zawadi hapo ni kuhamisha mali kutoka kwako kwenda kwa mwenzio!

Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?
 
kama una roho nyepesi usihonge......

Wenzio wanahonga magari na hawadai itakuwa simu...
 
Pole sana. Bila shaka huyo demu ujapiga bado. ukitaka kuhonga sikunyingine weka post tukupe ushauri kabla hujatoa boko tena.
 
Kumbe tu mpenzi ulimhonga!!! Kwa kuwa si mchumba ni lazima naye ahonge ili angalao upande wa pili anaweza tamkiwa uchumba!!! Ha ha ha !!! Unashangaa mbona wanaume wa ndoa na wanawake wa ndoa pia huhonga!! Kama ulimhonga naye kahonga, ngoma droooooo!!
 
Nimemuonga Mpenzi wangu Sumsung Duos Galaxy GT B5512 jumatatu, jana kamuonga jamaa. Nimempeleka Police anirudishie kakataa kata kata sikumpa. Pamoja na yote police walimueka mahabusu baada ya saa limoja jamaa kamtoa. Je nimfanyaje?

Pole Msandawe, kwani alikuomba umhonge au kwa mapenzi yako ulimhonga!!!!:A S-frusty:
 
Like this!
Kama sie, unanunua pichu, unaifua kila siku. Mwenzio anaenda kuvuliwa, na anaivaa anarudisha home ifuliwe before next round! Mapenzi raha sana, mkizingatia separation of power.
kwamza nimecheka sana lakini pia nimesikitika sana ndugu ila naona kama umejichoresha flani.
lakini wajua ni hivi. "you buy her an underwear and someone removes it that is what is called seperation of power".
 
Hajahonga hata kimoja cha kuandikishwa jina. Simu na dinner ataandikishaje kwi kwi kwi
wanaoohonga viwanja na magari na biashara zenye leseni ambazo sio genge, huwa hawalalamiki. Wanahonga tuuu!
Mzigo kama ulipiga unataka nini tena.Ila kama wewe ni mjanja mrudie kwa speed zote halafu kila unachomnunulia andika jina lako siku ya siku unavichukua kwa ulaini asiamini mwenyewe
 
Back
Top Bottom